Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
katika utafiti uliofanyika ndani ya jiji la dar es salaaam....kipindi cha ambacho asilimia kubwa ya kabila la wachagga wanaopoenda kula sikuku ya chrismass moshi....athari zinazopatikana kipindi wachagga hawapo dar kama zifuatazaooo
1.kupungua kwa foleni za magali jijini dar es salaam haswa morogoro road
2.BAR NYINGI ZA DAR ZINAPUNGUA WATEJAAA
3.BIASHARA YA KITIMOTO HUKOSA WATEJAAA
4.BIAHARA YA MBEGE DAR....HUKOSAA WATEJA.....
5.MADUKA MENGI AMBAYOO HUKOSA WATEJA KWANI KUSAFILI KWA WACHAGGA HUWAPA FURSA WATU WENGINE BIASHARA ZAOO KWENDA VIZULII
6.MABASI MENGI YA MIKOANI HUPENDELEA KWENDA MOSHIII
SASA BAADA YA HAPO UNAWEZA ONGEZEA ZAKOOO
Mkuu nawe hujanyimwa kwenda kufanyia hayo kwenu! ie kutambikia et als!hizo ni mbwembwe zako za kutaka kujulikana hivi umeenda na sindano za kushonea viatu, na mirror ya kuchungulia saaa kuitambikia, angalau kimara kumetulia hakuna wizi.
mmmmh wivu huo ww mdPoor analysis umejidharaulisha sana kwa kuangalia wakwe zako mtu ukis
ahau kuwa jiji la dar es salaam watu wako busy ssna throughout the year. Wakati huu wa holiday hutafuta mapumziko na ndio wakati mzuri wa kutembelea mikoani ndio maana hujaangalia watu wa mkoa wa Tanganyika, Morogoro iringa wala mbeya, unguja, pemba, lindi na dodoma laiti ungefuatilia wakati usafiri ulivyokuwa mgumu kwa mikoa niliyoitaja wakati wa holidays usingeleta mawazo yako ya misifa hovyo.
Usitafute cheap popularity kwa great thinkers coz you must bring concrete proposition ili tukubaliane na p.u.m.b.a zako.
Otherwise acheni sifa maana sasa mmewazidi wahaya ambao tulishawazoea sasa hivi nyie mnaongoza kwa misifa halafu sio kwamba WOTE mna hela kiviiiiile. Misifa tu!
Mchaga mwenye hela huwa hana mawenge utamuona tu na hawezi kujisifu hata uwe umefanya nae dili la bilioni hautajua ila utamuona tu.
Punguza sifa kijana.