Fahamu athari za jiji la Dar kipindi Wachagga wakienda Moshi kula sikukuu

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,179
3,539
Katika utafiti uliofanyika ndani ya jiji la Dar es salaam....kipindi cha ambacho asilimia kubwa ya kabila la Wachagga wanaopoenda kula sikuku ya Chrismass Moshi....athari zinazopatikana kipindi Wachagga hawapo dar kama zifuatazaooo

1. Kupungua kwa foleni za magari jijini Dar es salaam haswa morogoro road

2. Bar zinapungua wateja

3. Biashara ya Kitimoto hukosa wateja

4. Biashara ya Mbege hukosa wateja

5.MADUKA MENGI AMBAYOO HUKOSA WATEJA KWANI KUSAFILI KWA WACHAGGA HUWAPA FURSA WATU WENGINE BIASHARA ZAOO KWENDA VIZULII

6. Mabasi mengi ya mkoani hupendelea kwenda Moshi

Unaweza kuongeza zako katika hizo
 
inawezekana wewe ndio umeathirika kwa 7bu wachagga ni wafadhili wako kwa lift, vinywaji na kitimoto. pole sana watarudi baada ya mwaka mpya
 
katika utafiti uliofanyika ndani ya jiji la dar es salaaam....kipindi cha ambacho asilimia kubwa ya kabila la wachagga wanaopoenda kula sikuku ya chrismass moshi....athari zinazopatikana kipindi wachagga hawapo dar kama zifuatazaooo

1.kupungua kwa foleni za magali jijini dar es salaam haswa morogoro road

2.BAR NYINGI ZA DAR ZINAPUNGUA WATEJAAA

3.BIASHARA YA KITIMOTO HUKOSA WATEJAAA

4.BIAHARA YA MBEGE DAR....HUKOSAA WATEJA.....

5.MADUKA MENGI AMBAYOO HUKOSA WATEJA KWANI KUSAFILI KWA WACHAGGA HUWAPA FURSA WATU WENGINE BIASHARA ZAOO KWENDA VIZULII

6.MABASI MENGI YA MIKOANI HUPENDELEA KWENDA MOSHIII

SASA BAADA YA HAPO UNAWEZA ONGEZEA ZAKOOO

Labda hiyo ya mbege kukosa wateja,otherwise hamna tofauti yoyote...

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Poor analysis umejidharaulisha sana kwa kuangalia wakwe zako mtu ukisahau kuwa jiji la dar es salaam watu wako busy ssna throughout the year. Wakati huu wa holiday hutafuta mapumziko na ndio wakati mzuri wa kutembelea mikoani ndio maana hujaangalia watu wa mkoa wa Tanganyika, Morogoro iringa wala mbeya, unguja, pemba, lindi na dodoma laiti ungefuatilia wakati usafiri ulivyokuwa mgumu kwa mikoa niliyoitaja wakati wa holidays usingeleta mawazo yako ya misifa hovyo.

Usitafute cheap popularity kwa great thinkers coz you must bring concrete proposition ili tukubaliane na p.u.m.b.a zako.

Otherwise acheni sifa maana sasa mmewazidi wahaya ambao tulishawazoea sasa hivi nyie mnaongoza kwa misifa halafu sio kwamba WOTE mna hela kiviiiiile. Misifa tu!

Mchaga mwenye hela huwa hana mawenge utamuona tu na hawezi kujisifu hata uwe umefanya nae dili la bilioni hautajua ila utamuona tu.

Punguza sifa kijana.
 
Kwa hyo unataka kushaur wasiwe wanarudi Moshi?Na kwann Mkuu haujarudi kwenu msimu huu,au ulikuwa unatafti nn kitatokea wacha...wakirudi kwao?Lakn Pia kwa wenzgu WACHA...myachukue kama Matusi,Kejeli n.k.Mnatukanwa na nyie mnafurahia aiseee!
 
Mmmmh! Naona watu full kutokwa mapovu......acheni tuende kwetu bhana whatever the case!....wengine pia nendeni jamani na cio kuwaponda chaggaz....
 
hizo ni mbwembwe zako za kutaka kujulikana hivi umeenda na sindano za kushonea viatu, na mirror ya kuchungulia saaa kuitambikia, angalau kimara kumetulia hakuna wizi.
 
hizo ni mbwembwe zako za kutaka kujulikana hivi umeenda na sindano za kushonea viatu, na mirror ya kuchungulia saaa kuitambikia, angalau kimara kumetulia hakuna wizi.
Mkuu nawe hujanyimwa kwenda kufanyia hayo kwenu! ie kutambikia et als!
 
Poor analysis umejidharaulisha sana kwa kuangalia wakwe zako mtu ukis
ahau kuwa jiji la dar es salaam watu wako busy ssna throughout the year. Wakati huu wa holiday hutafuta mapumziko na ndio wakati mzuri wa kutembelea mikoani ndio maana hujaangalia watu wa mkoa wa Tanganyika, Morogoro iringa wala mbeya, unguja, pemba, lindi na dodoma laiti ungefuatilia wakati usafiri ulivyokuwa mgumu kwa mikoa niliyoitaja wakati wa holidays usingeleta mawazo yako ya misifa hovyo.

Usitafute cheap popularity kwa great thinkers coz you must bring concrete proposition ili tukubaliane na p.u.m.b.a zako.

Otherwise acheni sifa maana sasa mmewazidi wahaya ambao tulishawazoea sasa hivi nyie mnaongoza kwa misifa halafu sio kwamba WOTE mna hela kiviiiiile. Misifa tu!

Mchaga mwenye hela huwa hana mawenge utamuona tu na hawezi kujisifu hata uwe umefanya nae dili la bilioni hautajua ila utamuona tu.

Punguza sifa kijana.
mmmmh wivu huo ww md
engereko, nadhan unataman ungekua mchagga.
 
Ha ha haa imenifurahisha hiyo ya kupungua kwa ujambazi na uporaji,MKUU ina maana wachaga ni wezi?.naomba majibu!
 
katika utafiti uliofanyika ndani ya jiji la dar es salaaam....kipindi cha ambacho asilimia kubwa ya kabila la wachagga wanaopoenda kula sikuku ya chrismass moshi....athari zinazopatikana kipindi wachagga hawapo dar kama zifuatazaooo

1.kupungua kwa foleni za magali jijini dar es salaam haswa morogoro road

2.BAR NYINGI ZA DAR ZINAPUNGUA WATEJAAA

3.BIASHARA YA KITIMOTO HUKOSA WATEJAAA

4.BIAHARA YA MBEGE DAR....HUKOSAA WATEJA.....

5.MADUKA MENGI AMBAYOO HUKOSA WATEJA KWANI KUSAFILI KWA WACHAGGA HUWAPA FURSA WATU WENGINE BIASHARA ZAOO KWENDA VIZULII

6.MABASI MENGI YA MIKOANI HUPENDELEA KWENDA MOSHIII

SASA BAADA YA HAPO UNAWEZA ONGEZEA ZAKOOO

aiseee ndugu yangu ninpoona post kama hizi najivunia kabila langu mchagga toka machame......wachagga tupo juuuu
 
Wakati wa sukukuu DAR ES SALAAM inabadilika kwa sababu VIONGOZI wengi wanakuwa wameeenda kwao,Ofisi za balozi na Baadhi ya ofisi hufungwa hadi JANUARY.

Unajua WABUNGE ,wengi huishi DAR na hata siku za vikao DODOMA Dar huwa inapumua,kwani Viongozi huwa na magari yao,wageni wao ambao huijaza DAR.Viongozu wengi huwa mapumziko ya sikukuu hupunguza idadi ya wageni wenye appointment kwenye ofisi mbalimbali jijini DAR.

Hata Shule nyingi zimefungwa,kwani harakati za shule na wanafunzi ni idadi wa watu wanaonekana sana jijini DAR.!!
 
Msiwape sifa wachaga kwamba wao ndo Holidays hizi za december ndio hufanya jiji la dar kupungua harakati zake kutokanaa nawao kuondoka jijini kwenda kwao moshi
ukweli kipindi hichi wanaotoka Dar kwenda Zanziabr ni wengi sana mahotel yanajaa karibui yote na wote wanatoka Dar, mbali ya wapemba wanaoenda makwao, Kuna wanaondoka dar kwenda Mombasa nao no wengine wengi sana wanaenda Dubai India na Far east....
sasa hivi hakuna nafasi kwenye emirates au Qatari air.....hivyo mji unapungua kwa sababu wengi ya wafanyakazi na wafanya biashara wanakwenda mapumziko...wachaga hawana athari yoyote na jiji hili...
 
Hiyo namba 3 , siyo kipindi hiki tu,wakati wa mtikisiko ni Mwezi wa Ramadhani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom