Jiji la Dar, kufanya zoezi la Uhuishaji wa Takwimu za Wafanyabiashara

Jul 19, 2023
6
11
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wafanyabiashara wote kuwa kutakua na zoezi la Uhuishaji wa Takwimu za Wafanyabiashara na Walipa Kodi wa Jiji la Dar es Salaam

Zoezi litafanyika kuanzia Tarehe 1 Septemba, 2023 mpaka tarehe 14 Septemba, 2023

Wafanyabiashara wote mna wajibu wa kutoa ushirikiano katika kipindi cha zoezi hili.View attachment 2723639
IMG-20230816-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom