Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,737
Mwingine akikasirika yeye ana kupa jitumbua tuuuu!! kwa mitindo yake yoote anayo jua!! ili kukupoza injini ya hasira zako na kweli utapoaaaa baaada ya kupiga mashine kiswasawa si unataka kula baada ya kazi?1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!
Hapo 2&3 ndipo wanawake wengi wa kibongo wanapoangukia 😂😂😂H
.
Kikawaida kila binadamu aliekamilika kaumbiwa hasira,hasira ambazo zipo Kwa maana na kazi maalumu kuliko vile ambavyo wengi hudhania kua hasira zipo Kwa ajili ya kuleta matatizo laa hasha..!!
Hasira ndizo zinatufanya tupambanie haki zetu has a pale tunapodhulumiwa,hasira ndizo zinatuondelea unyonge na kuonekana watu Wa kukubali kushindwa..ila jambo LA muhimu LA kisisitiziwa ni kutozidisha kiwango.
Zifuatazo ni Baadhi ya hasira za wanawake....
😅😅😅😅😅😅 Utakuwa mnyakuyusa namba moja anaekula raha duniani😅Mimi nikiwa na hasira nashindwa kuongea, machozi tu yanatiririka na nakua najiuliza mambo mengi hivi why umeamua kunifanyia hivo, umenionaje? Umenidharau ama nk. Ila dk 0 hasira zinaisha kabisa na naanza kukusemesha tena😜 sasa ukinibembeleza ndiyo kabisaa hasira haikai.
Hahahahah wengi lazma akukomeshe 😅 na usiombe awe anatoka kijasho cha pua kile andika maumivu 😀 kama hujapigwa knife usiku bora ulale kwenye gari nje!Hao wa namba 14 n watu wa visasi balaa...
Imagine mtu akikasirika anacheka af anakuongelesha kwa sentensi nusunusu....
Utaskia Yaani ww mwanaume......(anaishia hapo af anatabasamu, machoz kwa mbali af anaishia kusema daaaah, aya bana[emoji23][emoji23])...
Ukiona hv lala mbele, hamna usalama apo
Raha gani tena, mbona napigika tu hapa🙄🤪😅😅😅😅😅😅 Utakuwa mnyakuyusa namba moja anaekula raha duniani😅
Sasa si haunaga hasira jamani😁Raha gani tena, mbona napigika tu hapa🙄🤪
Wanawake wengi wako kwenye namba 2, ninayeishi naye yuko kwenye namba mbili.Ninaeishinae ana hiyo namba 3 [emoji16]
Inanipa shida kudeal nae
Si unafanya kumsukumia ndani ya ndoa tu!! Mbona rahisi, hata Kwa ButiWa kwangu anatoka nje ya ndoa
Kama zigo sio??Si unafanya kumsukumia ndani ya ndoa tu!! Mbona rahisi, hata Kwa Buti
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji11]
Ile akikupa tu hasira zake zote kwishney🤪
Dah!
Umelipooza jukwaa la yanga, au umehama kama manara [emoji38][emoji38][emoji3]
😀😀Umelipooza jukwaa la yanga, au umehama kama manara [emoji38][emoji38]