Very good bunafsi nawakubali sana nyie watuMbona tuna fahari ningi sana, kufikiria watu watakula nini leo, kuandaa chakula na watu wote wale washibe ni dogo hilo mkuu? Bado tunafanya kazi za ndani na watu wote wakiwa wamelala mzee anadai haki yake.