Facts za Wasomi ambao Hawachanganyi Elimu na Siasa

ndipo ninapo kumbuka kauli ya komredi mkapa. Tukicheza kila kitu kita haribika kwa dizaini hii.

Ya viongozi waliopewa dhamana kufanya maamuzi bila kupima hathari zake.
 
Mziki wa NECTA si wa kispoti spoti, Ndalichako tuache tukimbilie certificate msahishaji tunamjua tutamalizana nae tu huko necta hata hatujui pepa kalishika nani
 
Mdogo wangu alihitaji kusoma advance PCB lakini alipokuwa anaishi hakuna shule wala walimu na private candidate haruhusiwi kusoma boarding,tukaamua asome clinical medicine,sasa anapokuja mtu mmoja analeta mzuka tu eti kwa nini watu wanakwepa form six,hatumwelewi kabisa ! Nini form six bana watu wanatengeneza program za computer hata form four hajafika uje leo uamke na stress zako kwa vile una mamlaka utengue maamuzi ya wenye hekima kuliko wewe ?
 
Mziki wa NECTA si wa kispoti spoti, Ndalichako tuache tukimbilie certificate msahishaji tunamjua tutamalizana nae tu huko necta hata hatujui pepa kalishika nani
Muziki huo unakusumbua wewe ! Watu tunapata one hatuna walimu sasa kuna muziki hapo wa kutishia watu ? Unaoona wanafeli wala si muziki mkubwa kama unavyotaka watu waamini bali ni mazingira wanayotoka na wanayoyakuta shuleni.Kwanini wanaosoma english medium wanafaulu wote ?
Nilikuwa nasubiria sana kauli yake kwenye hili tamko.
 
Ukitaka kujua wengine humu wana vichwa vya nazi. Badala ya kujikita kwenye mada wanamshambulia Dr. BANA. matatizo ya elimu za ku-google. Na sijui kama Dr. Bana angeungana na Prof. Ndalichako wangemsifia au bado wangemshambulia. Siasa zimeathiri hata ķale kaelimu kadogo walikokapata kameyeyuka kama puto
 
Mimi naona maprofesa wawe na kaumoja chao cha kuambiana ukweli. Maana tangu lipumba abwabwaje, kumekuwa na wimbi la maprofesa kupindisha hadhi ya uprofesa hata kufikia kipindi watoto hawatamani kufikia level hiyo.
 
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, yeye alisema haamini kama alichosema Waziri Ndalichako ni tamko na uamuzi wa Serikali, kwani suala hilo haliko kwenye sera ya elimu na kuonya kuwa alifute haraka kwani hiyo si njia sahihi ya kuboresha elimu nchini.
Dk. Bana alikwenda mbali zaidi kwa kutoa mfano wa jinsi yeye alivyosoma kupitia mfumo huo unaopingwa na Ndalichako hadi hapo alipofikia.
“Kama kachukua uamuzi huo, nafikiri amekurupuka, kama anafikiria kidato cha sita ndiyo njia pekee, ameshauriwa vibaya na huo uamuzi aufute haraka sana na ni kinyume na utaratibu wa elimu kote duniani… utakuwa ni uamuzi wa dhambi ya asili na dhambi ya ubaguzi. Kama anataka njia ya kuboresha elimu aje tumfundishe.
“Mimi binafsi sikupitia kidato cha sita na kuna maprofesa zaidi ya 20 au 40 ninaowafahamu, yupo Profesa Baregu (Mwesiga Baregu) hakusoma kidato cha sita, kuna Profesa Mathew Luhanga ambaye alikuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa miaka 14, yupo pia Profesa Cuthbert Kimambo ambaye alikuwa Mkuu wa Taaluma UDSM na wengine wengi, ni watu wanaoheshimika kote duniani,” alisema.

PROFESA BAREGU
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Profesa Mwesiga Baregu, hakutofautiana na Dk. Bana. Yeye alisema mfumo uliopo unakubalika duniani kote na ndio ulioleta msemo wa ‘elimu haina mwisho’.
“Kauli ya waziri imeonyesha umuhimu wa kuwa na tume ya kitaifa ya kushughulikia suala la elimu, kwa sababu kweli kuna tatizo la ubora wa elimu yetu na halipaswi kunyamaziwa, lakini hii si njia sahihi ya kulitatua.
“Sijamwelewa waziri kwanini ameona diploma kwenda chuo kikuu ndiyo tatizo na kusema kuwa watu wote wana haki ya kujengewa mazingira ya kujiendeleza kielimu,” alisema Profesa Baregu.

PROFESA MPANGALA
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ruaha mkoani Iringa (RUCO), Profesa Gaudence Mpangala, alisema anapinga uamuzi huo wa Profesa Ndachako kwani utawanyima watu uhuru wa kujiendeleza.

Profesa Mpangala naye aliwataja baadhi ya maprofesa anaowafahamu ambao hawakupitia kidato cha sita na akasema wamekuwa msaada mkubwa kwa taifa.
“Profesa Kimambo alikuwa mwalimu wangu wa Kiswahili, yeye alikuwa na elimu ya ualimu ‘Grade’ C wa shule ya msingi lakini amejiendeleza hadi amekuwa Profesa yupo pia Profesa Ndunguru na wengine wengi na waliopitia mfumo wa Cheti-Stashahada wanakuwa na uzoefu mkubwa kuliko wa kidato cha sita na wanafanya vizuri wakifika chuo kikuu,” alisema Profesa Mpangala.

Anaowapoint wamesoma lini, vyuo vya kipindi hicho utafananisha na sasa, kuna biashara na ujanja mwingi kwa sasa. Isitoshe, si yupo chuo, atuambie kwanza reputation ya UDSM miaka mpaka ya mwishoni 1990 ndio walionayo sasa au la. Zaidi tutapotezeana muda
 
Muziki huo unakusumbua wewe ! Watu tunapata one hatuna walimu sasa kuna muziki hapo wa kutishia watu ? Unaoona wanafeli wala si muziki mkubwa kama unavyotaka watu waamini bali ni mazingira wanayotoka na wanayoyakuta shuleni.Kwanini wanaosoma english medium wanafaulu wote ?
Vyovyote utakavyosema ukweli utabaki pale pale advance huiwezi kuifananisha na certificate wala diploma. Waliopitia hizo stage wanaelewa, binafsi nimesoma advance na chuo lkn nakiri advance ni mziki mnene. Chuo mnapewa hadi area of concentration halafu unataka fananisha na advance!? Acha masikhara wewe
 
hilo tamko la huyo mama,liko blow out of proportion,mwenyewe kashasema,hakumaanisha lilivyochukuliwa,sasa nyie maprofessor mnataka nini km sio cheap popularity?
 
Anaowapoint wamesoma lini, vyuo vya kipindi hicho utafananisha na sasa, kuna biashara na ujanja mwingi kwa sasa. Isitoshe, si yupo chuo, atuambie kwanza reputation ya UDSM miaka mpaka ya mwishoni 1990 ndio walionayo sasa au la. Zaidi tutapotezeana muda
WEWE MKUU NAONA SASA UNACHANGIA NJE YA MADA. HAPA TUNAONGELEA MATAMKO YA KIQUMER YANAYOTOLEWA NA WANASIASA UCHWARA, SIO MFUMO MZIMA WA ELIMU AMBAO UMEVURUGWA NA SERIKALI YA CCM. ELIMU YETU IMEDORORA KUANZIA CHEKECHEA HADI CHUO KIKUU NA HII YOTE IMEVURUGWA NA SERIKALI YA CCM INAYOCHANGANYA SIASA NA UTAALAMU.
 
Mpaka pale mtakapoipata maana halisi ya siasa, mapovu yote nchin yataisha
 
Vyovyote utakavyosema ukweli utabaki pale pale advance huiwezi kuifananisha na certificate wala diploma. Waliopitia hizo stage wanaelewa, binafsi nimesoma advance na chuo lkn nakiri advance ni mziki mnene. Chuo mnapewa hadi area of concentration halafu unataka fananisha na advance!? Acha masikhara wewe
upo sawaaa kabsaa advance usipokaza lazmaa utage mzki ulee si wakitoto tulikuwa tunakeshaa nakusomaaa kwa kukamia ndo tukatoboa ilaa wavivu wakuamshaa night waliangukia pua ilaa huku cert na dip mizinguo 2 mm najua sabb nishafundishaa hizo level watoto wanataka marks za mezani 2
 
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, yeye alisema haamini kama alichosema Waziri Ndalichako ni tamko na uamuzi wa Serikali, kwani suala hilo haliko kwenye sera ya elimu na kuonya kuwa alifute haraka kwani hiyo si njia sahihi ya kuboresha elimu nchini.
Dk. Bana alikwenda mbali zaidi kwa kutoa mfano wa jinsi yeye alivyosoma kupitia mfumo huo unaopingwa na Ndalichako hadi hapo alipofikia.
“Kama kachukua uamuzi huo, nafikiri amekurupuka, kama anafikiria kidato cha sita ndiyo njia pekee, ameshauriwa vibaya na huo uamuzi aufute haraka sana na ni kinyume na utaratibu wa elimu kote duniani… utakuwa ni uamuzi wa dhambi ya asili na dhambi ya ubaguzi. Kama anataka njia ya kuboresha elimu aje tumfundishe.
“Mimi binafsi sikupitia kidato cha sita na kuna maprofesa zaidi ya 20 au 40 ninaowafahamu, yupo Profesa Baregu (Mwesiga Baregu) hakusoma kidato cha sita, kuna Profesa Mathew Luhanga ambaye alikuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa miaka 14, yupo pia Profesa Cuthbert Kimambo ambaye alikuwa Mkuu wa Taaluma UDSM na wengine wengi, ni watu wanaoheshimika kote duniani,” alisema.

PROFESA BAREGU
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Profesa Mwesiga Baregu, hakutofautiana na Dk. Bana. Yeye alisema mfumo uliopo unakubalika duniani kote na ndio ulioleta msemo wa ‘elimu haina mwisho’.
“Kauli ya waziri imeonyesha umuhimu wa kuwa na tume ya kitaifa ya kushughulikia suala la elimu, kwa sababu kweli kuna tatizo la ubora wa elimu yetu na halipaswi kunyamaziwa, lakini hii si njia sahihi ya kulitatua.
“Sijamwelewa waziri kwanini ameona diploma kwenda chuo kikuu ndiyo tatizo na kusema kuwa watu wote wana haki ya kujengewa mazingira ya kujiendeleza kielimu,” alisema Profesa Baregu.

PROFESA MPANGALA
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ruaha mkoani Iringa (RUCO), Profesa Gaudence Mpangala, alisema anapinga uamuzi huo wa Profesa Ndachako kwani utawanyima watu uhuru wa kujiendeleza.

Profesa Mpangala naye aliwataja baadhi ya maprofesa anaowafahamu ambao hawakupitia kidato cha sita na akasema wamekuwa msaada mkubwa kwa taifa.
“Profesa Kimambo alikuwa mwalimu wangu wa Kiswahili, yeye alikuwa na elimu ya ualimu ‘Grade’ C wa shule ya msingi lakini amejiendeleza hadi amekuwa Profesa yupo pia Profesa Ndunguru na wengine wengi na waliopitia mfumo wa Cheti-Stashahada wanakuwa na uzoefu mkubwa kuliko wa kidato cha sita na wanafanya vizuri wakifika chuo kikuu,” alisema Profesa Mpangala.
Prof Ndalichako hajasema kwenda chuo kikuu lazima wote wapitie kidato cha sita.Hata huyo Dr Bana amedakia mada juu kwa juu bila kumsikiliza Waziri amesisitiza na kuongea nini.

Waziri Ndalichako amesema foundation course siyo qualification ya kijiunga na chuo kikuu.

Waziri Ndalichako amesema ili kujiunga na chuo kikuu unatakiwa kufaulu ili kupata vigezo kidato cha sita na wale wenyewe diploma lazima aidha wawe na vigezo kidato cha sita au vigezo kidato cha NNE na si vinginevyo.
 
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, yeye alisema haamini kama alichosema Waziri Ndalichako ni tamko na uamuzi wa Serikali, kwani suala hilo haliko kwenye sera ya elimu na kuonya kuwa alifute haraka kwani hiyo si njia sahihi ya kuboresha elimu nchini.
Dk. Bana alikwenda mbali zaidi kwa kutoa mfano wa jinsi yeye alivyosoma kupitia mfumo huo unaopingwa na Ndalichako hadi hapo alipofikia.
“Kama kachukua uamuzi huo, nafikiri amekurupuka, kama anafikiria kidato cha sita ndiyo njia pekee, ameshauriwa vibaya na huo uamuzi aufute haraka sana na ni kinyume na utaratibu wa elimu kote duniani… utakuwa ni uamuzi wa dhambi ya asili na dhambi ya ubaguzi. Kama anataka njia ya kuboresha elimu aje tumfundishe.
“Mimi binafsi sikupitia kidato cha sita na kuna maprofesa zaidi ya 20 au 40 ninaowafahamu, yupo Profesa Baregu (Mwesiga Baregu) hakusoma kidato cha sita, kuna Profesa Mathew Luhanga ambaye alikuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa miaka 14, yupo pia Profesa Cuthbert Kimambo ambaye alikuwa Mkuu wa Taaluma UDSM na wengine wengi, ni watu wanaoheshimika kote duniani,” alisema.

PROFESA BAREGU
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Profesa Mwesiga Baregu, hakutofautiana na Dk. Bana. Yeye alisema mfumo uliopo unakubalika duniani kote na ndio ulioleta msemo wa ‘elimu haina mwisho’.
“Kauli ya waziri imeonyesha umuhimu wa kuwa na tume ya kitaifa ya kushughulikia suala la elimu, kwa sababu kweli kuna tatizo la ubora wa elimu yetu na halipaswi kunyamaziwa, lakini hii si njia sahihi ya kulitatua.
“Sijamwelewa waziri kwanini ameona diploma kwenda chuo kikuu ndiyo tatizo na kusema kuwa watu wote wana haki ya kujengewa mazingira ya kujiendeleza kielimu,” alisema Profesa Baregu.

PROFESA MPANGALA
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ruaha mkoani Iringa (RUCO), Profesa Gaudence Mpangala, alisema anapinga uamuzi huo wa Profesa Ndachako kwani utawanyima watu uhuru wa kujiendeleza.

Profesa Mpangala naye aliwataja baadhi ya maprofesa anaowafahamu ambao hawakupitia kidato cha sita na akasema wamekuwa msaada mkubwa kwa taifa.
“Profesa Kimambo alikuwa mwalimu wangu wa Kiswahili, yeye alikuwa na elimu ya ualimu ‘Grade’ C wa shule ya msingi lakini amejiendeleza hadi amekuwa Profesa yupo pia Profesa Ndunguru na wengine wengi na waliopitia mfumo wa Cheti-Stashahada wanakuwa na uzoefu mkubwa kuliko wa kidato cha sita na wanafanya vizuri wakifika chuo kikuu,” alisema Profesa Mpangala.
Yap wapo sahihi, lakini Kikubwa me nilikuwa naona c kuponda tu Njia aliyofikiria ndalichako, baada ya kuponda walitakiwa waje na njia mbadala ya nini kifanyike ili tuweze kuboresha mfumo wa elim ili vijana wapate elimu iliyobora
 
Back
Top Bottom