Unatuchafulia jioni yetu tu! Hizo pesa mnazolipwa kwa kusafisha mafisadi mnakosea sana.
Acha uongo mtoto wa kike
we wasemaMkuu ocampo four utaficha uso wako wakati Lowassa atakapoangukia pua. Tanzania ya sasa haiwezi kuongozwa na adui wa maendeleo kwa ufisadi. Lowassa hana sifa hata za kuendelea kuwa Mbunge kwakuwa madoa yake ya ufisadi hayafichiki.
1. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye wapenzi na mashabiki wengi kwa sasa....
2. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye wasifu na historia kubwa na iliyotukuka katika utendaji wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi na Serikali kwa ujumla..
3. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee ambaye mpaka sasa kashawishiwa na makundi mengi sana ya kijamii, eg. Wakulima, wafanyabiashara, bodaboda, wafugaji, Mamalishe, wachimbaji wadogo wa madini, wanafunzi, wachungaji n.k
4. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye ushawishi na nguvu ndani ya Chama Cha Mapinduzi na jamii kwa ujumla (rejea tafiti na takwimu mbalimbali)
5. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee aliyeonyesha uzalendo wake kwa kupigania Nchi yake katika vita vya Kagera 1978/1979. Kwa Nchi nyingi duniani kupigana vita ni sifa muhimu na ziada kwa mtu anayewania uongozi. Kushiriki kupigana vita huchukuliwa kuwa ni kiwango cha juu kabisa cha uzalendo...
6. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye maono yaliyowazi katika kuwakomboa wananchi kwa kuonyesha vipaumbele vya Taifa eg. Elimu, Elimu, Elimu, Afya, Kilimo, Kuondoa umasikini, kukuza uchumi n.k
7. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee aliye maarufu na ambaye wananchi wana matumaini naye kwa sasa. Hii inatokana na utendaji kazi wake na uwezo wake mkubwa wa kusimamia jambo eg. Shule za kata, mradi wa maji ziwa Victoria, Chuo cha UDOM, maamuzi ya City Water, viwanja vya Mnazi Mmoja na plot No. 125~157 Mikocheni n.k
8. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye maamuzi magumu na sahihi kwa manufaa ya wananchi na Taifa kwa ujumla...
9. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee atakayeweza kusimamia, kurudisha na kuleta nidhamu kwa viongozi na watendaji wa serikali na mashirika ya Umma...
10. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye nguvu wa ushawishi wa hoja kwa wananchi na katika vikao mbalimbali vya maamuzi (rejea kikao cha maamuzi kuhusu matumizi ya maji Ziwa Victoria nchini Misri, rejea kikao cha kupitisha maamuzi ya ujenzi wa UDOM n.k)....
11. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee aliyejiandaa kisaikolojia kuingia Ikulu (rejea uchambuzi wa Prof. Kitila Mkumbo)....
12. Lowassa ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye sifa za ziada kama...
i. Mchapakazi kwa bidii
ii. Msikivu
iii. Mbunifu
iv. Muadilifu
v. Mpenda watu/wananchi
vi. Mvumilivu & Mstahimivu
13. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye dhamira na nia ya dhati kuondoa umasikini uliokithiri (Absolute Poverty)....
Mytake: kwa hizi facts zote, ni wazi Lowassa kwa sasa tunakuitaji kuliko kipindi chochote kile katika historia ya Nchi hii...
stop lying....mwalimu nyerere hakuna hata siku moja alisema lowassa asipewe uongozi...hizi ndizo habari za vijiweni....unaweza prove ..?? Ulikuwepo ww..!!? Hizi ndio tabia za uongo za team membe...!!! Hv mmezaliwa ktk uongo nn..!!?
Mkatae mkubali, lowassa ni habari ya mujini, vijijini, vyuoni, misikitini, makanisani, abroad, hadi ukawa..ni lowassa tu....!!! Hatuchaguai chama au nn...tunachagua mtu...na mtu kwa sasa ni lowassa....no objection...hutaki utake, tht is the fact...!!!
Lowassa  ==>> 2015