Facts 13 kuhusu Lowassa na Uchaguzi 2015

1. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye wapenzi na mashabiki wengi kwa sasa....

2. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye wasifu na historia kubwa na iliyotukuka katika utendaji wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi na Serikali kwa ujumla..

3. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee ambaye mpaka sasa kashawishiwa na makundi mengi sana ya kijamii, eg. Wakulima, wafanyabiashara, bodaboda, wafugaji, Mamalishe, wachimbaji wadogo wa madini, wanafunzi, wachungaji n.k

4. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye ushawishi na nguvu ndani ya Chama Cha Mapinduzi na jamii kwa ujumla (rejea tafiti na takwimu mbalimbali)

5. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee aliyeonyesha uzalendo wake kwa kupigania Nchi yake katika vita vya Kagera 1978/1979. Kwa Nchi nyingi duniani kupigana vita ni sifa muhimu na ziada kwa mtu anayewania uongozi. Kushiriki kupigana vita huchukuliwa kuwa ni kiwango cha juu kabisa cha uzalendo...

6. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye maono yaliyowazi katika kuwakomboa wananchi kwa kuonyesha vipaumbele vya Taifa eg. Elimu, Elimu, Elimu, Afya, Kilimo, Kuondoa umasikini, kukuza uchumi n.k

7. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee aliye maarufu na ambaye wananchi wana matumaini naye kwa sasa. Hii inatokana na utendaji kazi wake na uwezo wake mkubwa wa kusimamia jambo eg. Shule za kata, mradi wa maji ziwa Victoria, Chuo cha UDOM, maamuzi ya City Water, viwanja vya Mnazi Mmoja na plot No. 125~157 Mikocheni n.k

8. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye maamuzi magumu na sahihi kwa manufaa ya wananchi na Taifa kwa ujumla...

9. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee atakayeweza kusimamia, kurudisha na kuleta nidhamu kwa viongozi na watendaji wa serikali na mashirika ya Umma...

10. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye nguvu wa ushawishi wa hoja kwa wananchi na katika vikao mbalimbali vya maamuzi (rejea kikao cha maamuzi kuhusu matumizi ya maji Ziwa Victoria nchini Misri, rejea kikao cha kupitisha maamuzi ya ujenzi wa UDOM n.k)....

11. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee aliyejiandaa kisaikolojia kuingia Ikulu (rejea uchambuzi wa Prof. Kitila Mkumbo)....

12. Lowassa ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye sifa za ziada kama...
i. Mchapakazi kwa bidii
ii. Msikivu
iii. Mbunifu
iv. Muadilifu
v. Mpenda watu/wananchi
vi. Mvumilivu & Mstahimivu

13. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye dhamira na nia ya dhati kuondoa umasikini uliokithiri (Absolute Poverty)....

Mytake: kwa hizi facts zote, ni wazi Lowassa kwa sasa tunakuitaji kuliko kipindi chochote kile katika historia ya Nchi hii...

14. Lowassa ndiye mgombea mtarajiwa mwenye kashfa za ufisadi na aliye tayari kunyonyoa wengine ngozi na nywele.

15. Lowassa ndiye mgombea mtarajiwa ambaye katika safari zake kwa njia ya gari lazima gari alilopanda yeye limtoe roho mtembea kwa miguu.

Karibuni kwa nyongeza
 
Stop lying....Mwalimu Nyerere HAKUNA HATA SIKU MOJA ALISEMA LOWASSA ASIPEWE UONGOZI...Hizi ndizo habari za vijiweni....UNAWEZA PROVE ..?? Ulikuwepo ww..!!? Hizi ndio tabia za uongo za team Membe...!!! Hv mmezaliwa ktk uongo nn..!!?

Mkatae mkubali, Lowassa ni habari ya mujini, vijijini, vyuoni, Misikitini, Makanisani, Abroad, hadi UKAWA..ni Lowassa tu....!!! Hatuchaguai chama au nn...TUNACHAGUA MTU...NA MTU KWA SASA NI LOWASSA....No objection...hutaki utake, tht is the fact...!!!

Lowassa 🏃🏃🏃🏃🏃 ==>> 2015

Makanisani?! Labda hayo makanisa yanayosajiliwa kila kukicha lakini Kanisa Katoliki halina muda na huyo lowasaa anayejipitisha lakini hauziki. Anajipendekeza lakini hakuna anayempa muda. Shinyanga kakimbia kabla ya sherehe. Mwalikwa alikuwa Rais Dr. Jakaya Kikwete almanusura Jakaya abadili uamuzi wa kwenda kushiriki sherehe zile za kusimikwa Askofu mpya wa shinyanga sababu mroho wa madaraka alishajialika kwa kutumia kadi ya Mkoa wa Mwanza. Lakini akaenda na mmeru akapotezewa. Hana aibu babu huyu pamoja na mvi zote zile
 
1. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye wapenzi na mashabiki wengi kwa sasa....

2. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye wasifu na historia kubwa na iliyotukuka katika utendaji wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi na Serikali kwa ujumla..

3. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee ambaye mpaka sasa kashawishiwa na makundi mengi sana ya kijamii, eg. Wakulima, wafanyabiashara, bodaboda, wafugaji, Mamalishe, wachimbaji wadogo wa madini, wanafunzi, wachungaji n.k

4. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye ushawishi na nguvu ndani ya Chama Cha Mapinduzi na jamii kwa ujumla (rejea tafiti na takwimu mbalimbali)

5. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee aliyeonyesha uzalendo wake kwa kupigania Nchi yake katika vita vya Kagera 1978/1979. Kwa Nchi nyingi duniani kupigana vita ni sifa muhimu na ziada kwa mtu anayewania uongozi. Kushiriki kupigana vita huchukuliwa kuwa ni kiwango cha juu kabisa cha uzalendo...

6. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye maono yaliyowazi katika kuwakomboa wananchi kwa kuonyesha vipaumbele vya Taifa eg. Elimu, Elimu, Elimu, Afya, Kilimo, Kuondoa umasikini, kukuza uchumi n.k

7. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee aliye maarufu na ambaye wananchi wana matumaini naye kwa sasa. Hii inatokana na utendaji kazi wake na uwezo wake mkubwa wa kusimamia jambo eg. Shule za kata, mradi wa maji ziwa Victoria, Chuo cha UDOM, maamuzi ya City Water, viwanja vya Mnazi Mmoja na plot No. 125~157 Mikocheni n.k

8. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye maamuzi magumu na sahihi kwa manufaa ya wananchi na Taifa kwa ujumla...

9. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee atakayeweza kusimamia, kurudisha na kuleta nidhamu kwa viongozi na watendaji wa serikali na mashirika ya Umma...

10. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye nguvu wa ushawishi wa hoja kwa wananchi na katika vikao mbalimbali vya maamuzi (rejea kikao cha maamuzi kuhusu matumizi ya maji Ziwa Victoria nchini Misri, rejea kikao cha kupitisha maamuzi ya ujenzi wa UDOM n.k)....

11. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee aliyejiandaa kisaikolojia kuingia Ikulu (rejea uchambuzi wa Prof. Kitila Mkumbo)....

12. Lowassa ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye sifa za ziada kama...
i. Mchapakazi kwa bidii
ii. Msikivu
iii. Mbunifu
iv. Muadilifu
v. Mpenda watu/wananchi
vi. Mvumilivu & Mstahimivu

13. Lowassa, ndiye mgombea mtarajiwa pekee mwenye dhamira na nia ya dhati kuondoa umasikini uliokithiri (Absolute Poverty)....

Mytake: kwa hizi facts zote, ni wazi Lowassa kwa sasa tunakuitaji kuliko kipindi chochote kile katika historia ya Nchi hii...

yoooooote haya uliyopigia debe huyu mzee wa richmond ni kweli kabsaaa yanamhusu ila.. ila... ila.... tatizo lipo kwenye AFYA MGOGORO. hili ndio linalomtoa kwenye kinyang'anyiro cha kukalia kiti kikuu.
kuna zilizopatikana chini ya kapet pale LUMUMBA zimenyetisha kwamba WAKUU hawataki kufanya makosa waliyofanya jirani zetu ZAMBIA. sasa nawapa POLE KUBWA WAPAMBE.
 
Lowassa aliwakilisha Taifa Dubai...kwa mualiko maalum na watanzania wanaoishi huko siku ya muungano wa miaka 51....una swali lingine...

Azunguke dunia na ulimwengu wote huyo mmeru anayejifanya mmasai haingii ikulu. Na aibu itakayompata jina litakapokatwa atatakimbilia drip za glucose ujerumani.
 
Ni swala la muda tu Mkuu, tuvute subira june siyo mbali....
 
yani tupate shida kwa ufisadi tarajiwa kisa ww unalipwa!!??
 
Hahahah ungejua hata huyo Lowassa nina miaka zaidi ya 15 sijamtia machoni..... Hakuna fedha ninayopata wala sifaidiki na chochote, kikubwa naangalia nani wa kuivusha Tanzania kwa hapa tulipo....
 
labda aivushe familia yako kwa posho uipatayo.
 
I wish ungejua huyo jamaa hata sina naye link mkuu.... Kwa sasa tunaitaji ukombozi na ni Lowassa pekee ndiye jemedari wa hilo kwa sasa...
 
yaelekea hujui hata maana ya facts. labda nikuulize ulimaanisha nini neno 'facts' kwa kiswahili?

Back
Top Bottom