FACT ya leo:Kissing each day will keep the DENTIST away...

Shem haishii tu kwenye Afya tu! Kuna minong'ono hata kwenye ..... Pia upo ! Ndiyo mana kule kwenye couples alikua haelewekieleweki (Just a jokes)

pakikucha uje unieleze hiyo minong'ono inatokea kusi au kasi!..laa sivyo tunafuta undugu!!!
 
how about kushika mic hakusaidia wakina dada kwan naona ni sawa na mswaki wa miti?
 
JG hii sio jokes....huyu dogo yumo kweli....

B52 , wewe na yeye wote watu wangu wa karibu mi nampa Jokes lakini naona haelewi ! Sijui leo hajaamka vizuri .
Sasa unajua nini ? Huyu ndg yetu tunapaswa tumuekee mpango mkakati maalumu .
Tuhakikishe kabla pass'over haijesha tumemuozesha. Unaonaje 52 ? Tumpe Vivian ?
Hebu nipe rai yako kwanza !
Manaake nna hakika upande wa idara hiyo hajawa na utulivu uliyotukuka.
 
Ni kweli JG..
Unajua alipomuona Bi Nyakomba alipaparika akamuwahi akijua kapata kumbe kaingia chaka....sasa nafikiri kwa kumsaidia tuongee na Vivian walau dogo apate wa kumfariji....hope Vivian hana shida....
Sema tunamsaidiaje sasa kwa haraka?
 
Yaani hapo B52 ni kuanzisha Uzi maalumu uwe na viasharia vya propasal, mimi naamini Vivy katika hili hatotuangusha ! Yeye mwenyewe BAGAH jana alikua anamsarandia Vivy kwenye ule uzi ambao Vivian alisema "I'm single bt lookin' "
In short hii couple ikisaksiid itanoga sana!
Sasa huyu Nyakomba hawezi kutoroga kweli ? Maanake defensive mechanism pia tusisahau, isije kua tumaliza deal mara tunajikuta majogoo yetu kwenye mitungi yanateleza !
 
B52 Nimesahau ongea na BAGAR kwanza abariki ushenga wetu , akiafiki ndiyo tutafute njuga tena nitakua na kiherehere kwenye hiyo agenda sio cha polepole!
Naenda kuoga nikirudi nikute ulipofikia .
 
Hahahaaaaaaa ngoja nicheke kwanza hao kwenye bold.....
Dah sawa hebu baadae mchana hivi msaidie basi kuweka bayana nia yetu ya kumsaidia huyu dogo....
Vivian anapata sana shida Kuwa single ila atafanyaje wote wanamuogopa!
We andaa mkakati na kikiwa tayari kirushe tu faster...
 
Yaani hapo B52 ni kuanzisha Uzi maalumu uwe na viasharia vya propasal, mimi naamini Vivy katika hili hatotuangusha ! Yeye mwenyewe BAGAH jana alikua anamsarandia Vivy kwenye ule uzi ambao Vivian alisema "I'm single bt lookin' "
In short hii couple ikisaksiid itanoga sana!
Sasa huyu Nyakomba hawezi kutoroga kweli ? Maanake defensive mechanism pia tusisahau, isije kua tumaliza deal mara tunajikuta majogoo yetu kwenye mitungi yanateleza !

umenichekesha bro...kumbe huna akili za kondoo kuangalia chini tu...ila kiukweli namtaka Vivy...Bi Nyako ataniyeyusha tu...kwanza nahisi ni mzee...lol!..kwa iyo akifufuka na mm ntakua nafufuka ktk ndoa sio?
 
B52 Nimesahau ongea na BAGAR kwanza abariki ushenga wetu , akiafiki ndiyo tutafute njuga tena nitakua na kiherehere kwenye hiyo agenda sio cha polepole!
Naenda kuoga nikirudi nikute ulipofikia .
Ok poa ila dogo kwa Vivian alishanambia hana tatizo na anapakubali sana
 
umenichekesha bro...kumbe huna akili za kondoo kuangalia chini tu...ila kiukweli namtaka Vivy...Bi Nyako ataniyeyusha tu...kwanza nahisi ni mzee...lol!..kwa iyo akifufuka na mm ntakua nafufuka ktk ndoa sio?
Hahahaaa dogo unamkubali Vivian kwa moyo wako wote tuanze kazi ya kumsaka haraka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom