FACT ya leo:Kissing each day will keep the DENTIST away...

FACT ya leo:Kissing each day will keep the DENTIST away...

Sawa sawa bali ujue tu uwepo wangu kwa hiyo shuhuli ni ruhusa maalumu kutoka kwa mume wangu Rejao,
So any time akiinita kutaka kula kitumbua lzm niwatoroke nikamlishe mme wangu kitumbua chake,SAWA?

ivi kaka Rejao pasi kitumbua anaweza kupoteza maisha eeeh?mana unavyomlisha...duh!
 
Hahahaaaa mimi na bibie bado tuna kula good time.....
Huo usumbufu wa nini mapema?
Lol si hatutaki kula malimao mapema
Hee heeee heeeee!
Pole zenu alowambia mkiotesha mapema hamli gud time nani?
Mbona sio ugonjwa nataman mngeijua raha yake lol!

Gud time ni mshiko wa kueleweka na afya njema basi!!!
Na gud time ndio km yetu hane muni miezi 6 pesa na afya njema vinaruhusu lol!
 
ivi kaka Rejao pasi kitumbua anaweza kupoteza maisha eeeh?mana unavyomlisha...duh!
Hahaha hahaha
Shemu wangu bana,
Si ndio maana akanioa niwe naye siku zote za maisha yake!!!
Chezea kitumbua ww,hata km una hela huwezi pata raha ya kitumbua mpaka ukile lol!

Kwa sasa huku hane muni hatuna kazi nyingine mie namlisha kitumbua yeye ananilisha sosegi ni raha juu raha!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom