FACT: Mwanamke akienda "body massage" kuwa makini

FACT: Mwanamke akienda "body massage" kuwa makini

Massage hata ukifanyiwa na mwanamke mwenzio bado hali inakuwa tete sembuse mwanaume!!
 
Unaachaje mkeo aende huko wakati wewe unaweza?
 
Hili halitaki kutumia akili ni kitu cha wazi kabisa , mwanamke na mwanaume wakikaa pamoja hasa peke yao - lazima shetani anawasaidia kuwasogeza karibu - sembuse mtu anakandwa - lazima wata tafunana tu
 
Hata akiwa mwanamke, sio sawa
Niliwah kuwafuma balaa. Nikajua hakuna mke kufanya massage ntamfanyia mm
 
Kuna eneo pale Morocco karibu na Victoria nashangaa kuna Wanaume nasikia wanafanyiwa Massage na Wanaume wenzie na kama mwanamke anafanyiwa na mwanamke na ukitaka opposite sex pia inafanyika ila mostly nasikia watu wengi wanaenda kufata Masaage ya same sex sijajua logic yake!
 
"body massage" na maseur (mfanya massage)

Take it or leave it

Wajameni hiyo kitu ndo nini na inapatikana wapi? Umuhimu wake ni nini? Usipofanyiwa unapatwa na tatizo gani hasa? Ukifanyiwa kwanini inalazimu kugegedana? Kuna nini ktk hiyo maneno?

Nikijibiwa hayo ntakuwa ktk nafasi nzuri ya kuchukua au kuacha!!!
 
Wajameni hako kahuduma katanigharimu kama kiasi gani......nataka niende nikanyooshe misuli na wajukuu zangu....wiki hii.....
 
Yanayotendeka humo ni uchafu mtupu, sio tu Tz ni dunia nzima,

Nadhani imebuniwa kwa ajili ya uzinzi, nothing more.
 
Hivi hizi message hua zina faida gani? Alafu me hufanyiwa message na ke na ke hufanyiwa message me?Kama jibu ni ndiyo ni kwanini?
 
Wakuu naskitika kuyasema haya, ila ukweli ni huu mkeo akikuaga anaenda kufanya "body massage" na maseur (mfanya massage) awe mwanaume kuna 100% chance ya kuchapiwa.

Take it or leave it
kizur kula na mwenzio
 
Jaman naomba nielekezwe wanapo fanya hyo massage ili nione mambo ya dunia
 
Back
Top Bottom