Facebook

Facebook

everybody is on FB.! PLANNED or ACCIDENTALLY
 
Kiukweli hata mi siipendi fcbook sana nasubiri siku ntayotoka huko maana only ma boy keeps me there mmh
 
Mmmh huko iko maneno bana!!!!!
My wife kamuweka mtoto on his birthday na comments zote were;hongera umekuza,Mungu akutunzie,sijui nini na nini yaani as if mimi sikushiriki kumlea nikajua ooookey hata wanaotujua jamani they didnt say hongereni mmekuza!!!!!


NN uko sahihi kiasi fulani

kama unalia wivu hivi?!
 
Kwanini?...mim nilijitoa fb tangia 2011 na sitarajii kurudi uko...

hahahaaa!! bila shaka ulipata pigo huko! so now uko badoo!!

yote sawa tu!

aliyeogea nje na aliyeogea ndani, wote wametakata!
 
hahahaaa!! bila shaka ulipata pigo huko! so now uko badoo!!

yote sawa tu!

aliyeogea nje na aliyeogea ndani, wote wametakata!

wala sikupata pigo bali niliamua tu baada ya kuona sivielewi vijimambo vya fb...na uko badoo wala sipajui..na wala sitaenda uko...yani siko kwenye social network yoyote zaidi ya JF..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom