facebook....

Wako katika mgomo wa sheria inayotaka kuanzishwa Umarekani. Kama Wikipedia.

mbona nagoogle facebook strike sipati any news,wewe ulitoa wapi hizi info au umeniingiza chaka mwana wa mwenziO?lol
 
wamejua una account nyingi. kama vp update. ova
 
nini itakuwa tatizo jamani,nikifungua inakuja white blank page....kwa accounts zote tatu ni hivyo hivyo.....mnh

mmh inaelekea wewe ni adimn unamilik acount tatu za fb,je jf unazongapi mtoto mzuri
 
K*U*M*A KIBUYU! Mambo ya fb humu jamvini yanafanya nn? mamod ondoeni hii ki2 agriiiiii#'!*¥,..........
 
Soma kuhusu SOPA na PIPA utaelewa kinachoendelea.
 
K*U*M*A KIBUYU! Mambo ya fb humu jamvini yanafanya nn? mamod ondoeni hii ki2 agriiiiii#'!*¥,..........

lione vile.....kama lilevi??!!! acha matusi ya reja reja hapa sio baa...eboh!
 
lione vile.....kama lilevi??!!! acha matusi ya reja reja hapa sio baa...eboh!

Neno facebook linanikera!!! nilivyoliona nimetamani kujinyonga!! mfupa hauna ulimi lol!
 
nini itakuwa tatizo jamani,nikifungua inakuja white blank page....kwa accounts zote tatu ni hivyo hivyo.....mnh

akaunti tatu?
How d'ya manage for pete's sake?
 
jamani mbona nikichungulia nawaona watu online huko facebook???wanafanya nini au huu mgomo upo kwangu tu???mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…