Facebook!!!!!!!!!

Facebook!!!!!!!!!

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
77,554
Reaction score
164,224
Marafiki walipoteana siku nyingi sana. Baada ya miaka kumi wakaonana mjini.
Jamaa wa kwanza akamuuliza mwenzie, je kwenye facebook unatumia jina gani? Jamaa wa pili akajibu, tangu tumemaliza shule miaka kumi iliyopita mi na vitabu tuko tofauti kabisa, kwani hicho kitabu cha fesibuku mtunzi wake nani?
 
Buji my sweet heart ur so greeeen minded
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom