Facebook wamefeli kuhusu tukio la Ufaransa

Unaleta matusi bila ya kujibu hoja, nakuweka pembeni
 
Mimi sioni tatizo. Wao wanashindwa kudisco Syria kwa sababu ya makombora mengi wanayorushiwa na hawa jamaa? Kwa nini wawaruhusu wao kutazama concert?
 
DDOS ATTACK-JamiiForum ndi maana tunafungiwaga website yetu ya JF kwa sababu ya We dare just talk openly,tupunguze ukweli he mzungu akisoma posts hii c watatufungia tena.
I love @JF.
 
DDOS ATTACK-JamiiForum ndi maana tunafungiwaga website yetu ya JF kwa sababu ya We dare just talk openly,tupunguze ukwelimzungu akisoma posts hii c watatufungia tena.
I love @JF.
 

Kuna aliyewalazimisha kuungana na mashoga wanaojiiita fb? Waafrika mkome na kurukia vitu vya watu eti kiss vimetoka ulaya
 
Kuna aliyewalazimisha kuungana na mashoga wanaojiiita fb? Waafrika mkome na kurukia vitu vya watu eti kiss vimetoka ulaya

Lakini hakukus na sababu ya kujibu kwxugomvi na matusi ila kama ndio njia uliyochagua sawa mimi sina neno.
 
anaitwa #Mark Zuckerberg# hata Facebook Ana account kule,unashindwaje kumdirect huyo then unaleta umbeya jamii????

Mkuu huu sio umbeya,jamaa kafanya vema kabisa,mimi km Mwafrika wala sikubaliani na mtindo wa hawa ma-butterflies kwani kuna kila harufu ya Ubaguzi,Waafrika tuungane kuupinga.
 
Mkuu huu sio umbeya,jamaa kafanya vema kabisa,mimi km Mwafrika wala sikubaliani na mtindo wa hawa ma-butterflies kwani kuna kila harufu ya Ubaguzi,Waafrika tuungane kuupinga.

Waafrika wapi "Wanaounga mkono Wazungu au Waarabu"??
 
Good answer for foolish question

Kweli wewe ni Mjinga km ulivyojiita yaani upo confortable na manyanyaso ya Waafrika wenzako!!,Ama kweli "AFRIKA JINGA SANA".Wenzetu wanaungana kuokoana,Sisi tunaangamiza;huo ndo wendawazimu wa Ngozi nyeusi.
 
Hoja yako imepinda. Ingekuwa Facebook wameanza kwa kujali Wafaransa wachache, halafu hawakujali Wakenya wengi waliouawa baadaye, labda ungekuwa na hoja.

Vipi kama wameamua kufanya hivyo baada ya kuona matukio ya ugaidi yanazidi na uamuzi huu umetokea baada ya ugaidi wa Kenya?
 
Hakuna mtu anayejali kuhusu Afrika mkuu

Heck hakuna mwa afrika anayejali kuhusu afrika.Tumejipa majina ya kizungu na ya kiarabu.Tumeazima tamaduni zao.Tunatumia lugha yao

Sasa kama sisi hatujijali unadhani mgeni atajali?
 
Kwani hii idea ilikuwepo siku zote au ndio mara ya ya kwanza? Yawezekana ndio inatumika kwa mara ya kwanza kwa sababu yako mengiii yameshatokea huko ulaya na hajaweka hivyo.
 
Idea ndio kwanza imeanza kutumika. Haiku wahi kutumika kwenye tuko lolote nyuma. Mawazo ni ya ki inferiority complex.
Lakini pia sisi kama wa Africa tu we na umoja wetu na tu buni vitu vyetu.
Wenyewe Facebook ni yao na wataitumia kwa maslahi yao sikuzote.
Sawa na siku mafuriko yakitokea Rufiji Tanzania na mengine yakitokea North Dakota USA,unadhani CNN wataonesha picha za wapi?
Kwa hili Umewaonea.
 
Na nyie si mfungue facebuk yenu kama imewauma sana.
 

Huko ulaya ndiko kuliko na viongozi wabovu kuliko Africa. Wewe fikiria Michele Obama na watoto wa obama wanavyotumia mali ya nchi yao watakavyo. wakienda nje wanavyonyenyekewa huwezi kuamini. Mke na watoto wa kiongozi wa afrika wakifaya hivyo utasikia BBC na CNN wanavyoandika.
C
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…