Hii mitandao ambayo main aim ni kua connected with friends worldwide inaongeza kiwango cha kufail wanafunzi. O Level na Advance, pia Wanavyuo wanapunguza GPA zao ...
Kwanza jiulize haya maswali: Coverage na access ya internet TZ vs ratio ya wanafunzi wanaofeli zinawiana? Wanafunzi wa kizazi hiki wapo seriously dedicated kusoma kwa malengo? Serikali imewekeza ktk elimu kiasi gani? Mitaala yetu ikoje? Mazingira ya shule zetu yapo conducive kwa wanafunzi kusoma na kufaulu?
...
Hayo ni maswali machache kati ya mengi ya kujiuliza kabla ya ku-conclude sababu za wanafunzi kufeli.
...
Kuhusu sababu uliyosema, inachangia kwa asilimia ndogo sana (it is a negligible portion of the causes). Tena mwanafunzi mjanja anae-access internet atakua anapata "materials" na ku-supplement kile anachopata darasani.
...
Nitarudi baadae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.