Midozenj01
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 410
- 385
Habari WanaJF
Niende Direct kwenye mada.. Mimi ni mfanya biashara za mtandaoni mara nyingi huwa natumia CRDB Visacard kufanya malipo.
Tarehe 31/10 nililipa kiasi kama 2.8M nikapokea notification vizuri ya kiasi kilichobaki kwa account kilikuwa kama 1.2M.
Tarehe 1/11 nikataka nifanye tena malipo ya kama laki 1 na 50 nikaambiwa sina salio la kutosha.. Nikaingia SimBanking nikakuta maajabu sana
1. Kiasi halisi ni 3.98M Tzs (huwa wanachelewa kidogo kukata online paid amount).
2. Kiasi kinachopatikana 0Tzs Ilihali ilitakiwa isome ile 1.2M Tzs.
Watu wa online payment na watumiaji wa SimBanking watakuwa wamenielewa.
Nika deposite 20,000 Tzs kutoka TigoPesa ili niitumie ku request statement ajabu ikaingia na kusoma upande wa kiasi halisi ikawa 4M huku kiasi kinachopatikana still kikawa 0Tzs
Nikaenda Tawi la CRDB la karibu wamenipa very short and um awared answers ni kama vile hawa ma customer care hawaelewi tatizo langu
Nimejaribu kuskilizia kwa muda nahisi maybe ni tatizo la ki system litakaa sawa lakini wapi..
Naombeni muongozo wakuu kama hili limeshawahi tokea kwa yeyote au kama nitapata mtu wa system kunisaidia nitashukuru sana.
Asanteni sana