Miiku JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 3,835 Reaction score 2,650 Jun 21, 2016 #1 Wana bodi, Salaam!! Nina tatizo na facebook yangu nime log out sasa ni kijaribu kulog in inakataa inaniambia nimekosea anwani ambayo naitumia kila niki log Anuwani hiyo ni hii Dismas.Temba@facebook.com Wadau au sahivi .com haipo?
Wana bodi, Salaam!! Nina tatizo na facebook yangu nime log out sasa ni kijaribu kulog in inakataa inaniambia nimekosea anwani ambayo naitumia kila niki log Anuwani hiyo ni hii Dismas.Temba@facebook.com Wadau au sahivi .com haipo?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,226 Reaction score 44,218 Jun 21, 2016 #2 unalogin na namba au email uliotumia kufungulia na sio anuani ya fb
Miiku JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 3,835 Reaction score 2,650 Jun 21, 2016 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: unalogin na namba au email uliotumia kufungulia na sio anuani ya fb Click to expand... Natumia email niliyofungulia nayo mkuu chief
Chief-Mkwawa said: unalogin na namba au email uliotumia kufungulia na sio anuani ya fb Click to expand... Natumia email niliyofungulia nayo mkuu chief
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,226 Reaction score 44,218 Jun 21, 2016 #4 Bosco Saronga Makoi said: Natumia email niliyofungulia nayo mkuu chief Click to expand... sasa mbona anuani yako ya juu ina facebook? au sijaelewa kitu hapa
Bosco Saronga Makoi said: Natumia email niliyofungulia nayo mkuu chief Click to expand... sasa mbona anuani yako ya juu ina facebook? au sijaelewa kitu hapa