Facebook ad, Wajuzi msaada tutani!

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
1,504
2,261
Habari za muda wakuu,

Nimejaribu kulipia moja ya post yangu ya kwenye page ya facebook ili iwafikie watu wengi zaidi ila inaandika ....Je nifanyaje au tatizo nini nirekebishe? Nimejaribu mara kadhaa inagoma!
Screenshot_20190815-194301.jpeg
 
Habari za muda wakuu,

Nimejaribu kulipia moja ya post yangu ya kwenye page ya facebook ili iwafikie watu wengi zaidi ila inaandika ....Je nifanyaje au tatizo nini nirekebishe? Nimejaribu mara kadhaa inagoma!View attachment 1182270
Mkuu kwa tafsiri isio rasmi tangazo lako limekataliwa sababu linauliza moja kwa moja swali kuhusu Mambo binafsi ya mtu. Wakatoa na mfano "je umepona kansa?" "Usikubali baridi ikuangushe",

Hivyo kifupi badilisha content ya Hilo tangazo lako.
 
Sawa mkuu, na kwanini nikijaribu ku-promote page napo inakataa?
Mkuu kwa tafsiri isio rasmi tangazo lako limekataliwa sababu linauliza moja kwa moja swali kuhusu Mambo binafsi ya mtu. Wakatoa na mfano "je umepona kansa?" "Usikubali baridi ikuangushe",

Hivyo kifupi badilisha content ya Hilo tangazo lako.
 
Hapo wameandika wanai review mkuu na wanasema itafanyiwa kazi ndani ya masaa 24 ama inaweza chukua muda zaidi.

Hivyo unless waikatae sidhani Kama Ni busara kui cancel.
 
Nimelipia siku 1 tu, sasa ikipitishwa na tarehe imepita niliyoweka inakuaje?

Maana tangazo ni la masaa 24
Hapo wameandika wanai review mkuu na wanasema itafanyiwa kazi ndani ya masaa 24 ama inaweza chukua muda zaidi.

Hivyo unless waikatae sidhani Kama Ni busara kui cancel.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom