salaam,
jamani naombeni msaada kwani kuna mtu anatumia jina langu kwnye facebook akijifanya ni mimi.sijajua lengo lake bado.sina utaalamu sana na mambo ya facebook je nifanyaje ili asiendelee kuchafua jina langu.nahitaji msaada wenu saana wadau kwani nimekosa amani
Njia pekee ya kumkomesha huyo mtu ni kudelete his or her facebook account. Ni PM ili nikuelekeze jinsi ya kudelete his or her facebook account.
Bora wewe jina, mimi mtu anatumia picha zangu.