King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,615
- 97,109
...Kukusaidia tu. Hili swali ungeliulizia fb ungepata jibu sahihi mara moja.Habari Wadau, Najua mtaponda kwamba me natumia FB,ila kiukweli 99.99% ya member wa JF wana FB acc,swali langu ni configuration gani wana FB wanafanya? Maana uki-update status kwa chini pale inaonesha upo maeneo gani,wengi near kenya etc Je unafanyaje itokee? Mie kwangu haitokeagi kwa nini?
...Kukusaidia tu. Hili swali ungeliulizia fb ungepata jibu sahihi mara moja.
duh
Haya weee!!
Karibu Memo
Da si Lamu kwani wewe haupo fb frankly speaking 99.99% ya JF member wamo FB,kuuliza humu ni sawa tu mkuu
Aku PM nini sasa wakati jibu linawekwa hapa? watoto mnapenda PM nyinyi...Ukipata naomba uni PM me pia nataka kujua inakuwaje mwaya.......
Aku PM nini sasa wakati jibu linawekwa hapa? watoto mnapenda PM nyinyi...
Dawa yao Eliza wa Tegeta,lol!
Na hivi ww mod, usiwablock vijana wafanye practice
tujuze nasi tujue namana ya kuset!Mimi natumia Blackberry hiyo option ni rahisi tu, sijui kwa kwa wanatumia PC au simu zingine zaidi ya Blackberry kama inawezekana. Ila kwa PC nafikiri ni vigumu. Subiri watalaam watakueleza
Kama unatumia iphone4 ni rahisi kunabox check in status na ukibonyeza yenyewe inakulokate ulipo na kuuliza kama wataka kutumia current location statustujuze nasi tujue namana ya kuset!
Aku PM nini sasa wakati jibu linawekwa hapa? watoto mnapenda PM nyinyi...
Aku PM nini sasa wakati jibu linawekwa hapa? watoto mnapenda PM nyinyi...
Da si Lamu kwani wewe haupo fb frankly speaking 99.99% ya JF member wamo FB,kuuliza humu ni sawa tu mkuu
si uandike tu status yako
''is in UK'' .. Watu wana like na kuanza kukoment ..