Face your man

Face your man

kitu kizuri katika mahusiano ni mawasiliano mazuri, ila tatizo linakuja kwa wanaume most of them niwaongo, kama mnaweza kubadilisha hili basi mahusiano yatakua salama

mahusiano ni give and take. pande zote ni waongo.
 
Hapo kwenye mtu nzima kuwa mtoto umenikumbusha mrembo mmoja ambaye aliwahi kutamka, "Baada ya mapenzi ya uteenager sikudhani kama nitakuja kuexperience mapenzi kama yale ya uteenager ukubwani ambayo yanaweza kukufanya ukahehuka."

ha ha ha, sasa hapo ndio penyewe hakuna cha mdogo wala mkubwa, wote tunashushwa kuwa level moja
 
Hahahahahaaaaaaaaaaa! DO YOU REALLY EXPECT THE MEN TO TELL THE TRUTH? Hell no! You want the truth find it else where! Mwanaume takwambia uchotaka kusikia.
ur right Lara 1 :smile-big:
 
Niliitafakari hiyo kauli kwa kina nikajua kweli penzi halina uteenager au ukubwa. Ukibahatika kumpata unaweza kuhehuka vile vile hata kama ushaingia kwenye kundi la wakubwa 🙂🙂

ha ha ha, sasa hapo ndio penyewe hakuna cha mdogo wala mkubwa, wote tunashushwa kuwa level moja
 
Back
Top Bottom