Kuna wanawake wengine au wasichana bila hata kujua, wamejikuta wakipoteza wanaume wanaowapenda katika maisha yao.
Kwa sehemu kubwa, wanawake huwa hawanatafuti habari, taarifa au yanayowahusu wapenzi wao kutoka moja kwa moja kunakohusika.
Unajua wanachofanya? Watauliza wanawake wenzao, marafiki zao, wataalamu wa mapenzi, wanasaikolojia na kuamini kila watakachoambiwa ilimradi tu imani iko pale kwamba ule ni msaada tosha kwa mahusiano yake nyumbani.
Na wakati wanaacha sehemu husika, ambayo anaweza kupata kila habari bila gharama, bila usumbufu, bila kupoteza wakati na sio kwingine zaidi ya kukaa na mpenzi wako, kuongea nae taratibu na kujua zaidi ana wazo gani juu ya mahusiano yenu.
Anajisikiaje na kutafuta mambo mengi yanayomuhusu yeye kama ni mtu wa aina gani? Anapenda nini? Anachukia nini?? Na ni kwa njia gani mtaweza kufika pale mnapopataka.Hawa wanaume ni watu wa kawaida sanaa ni kama watoto wadogo na hawahitaji elimu sana au wataalamu kuwajua au kuishi nao.
Inawezekana tukatofautiana kimawazo "feel free"