Face your man

Face your man

husisahau kwamba ni wewe utakayeweza kumfanya mwanaume kuwa vile unavyotaka, trust me akili zao ndogo sanaaaaaaa. hawana ujanja kwa lolote, they only need guidance!!!. hahahah

Sweety! Think like a man! They ain't stupid just playing the fools card to make you think you won but it was all part of their plan
 
Men never speaks the truth my dear

first impression is the last impression, inawezekana aliishakusoma akaona hupendi kuambiwa ukweli huwezi kuukubali ukweli. unajua maranyingi sana mwanaume anamsoma sana msichana wake kuliko wewe kumsoma yeye.
 
hahahah unatamani sana kuulizwa? si mbaya ukishare na sisi ni mambo gani sana wanaume wanapenda wanawake wao wajue
 
hamjui kutuuliza,mfano kama mii kuna vitu hadi natamani kuulizwa ila mpaka leo sijaulizwa..change your mindset sisi niwarahisi mnoo

No way! IN GOD I TRUST IN MEN I INVESTIGATE FURTHER! Mnatakaga kuulizwa vitu vizuri vizuri tu mda wote. Vile ngumu kumesa hamsemi hata kama mtu anao ushahidi wa ku convict kuliko usem ndio bora ukae kimya upate benefit of the doubt.
 
Hahahahahaaaaaaaaaaa! DO YOU REALLY EXPECT THE MEN TO TELL THE TRUTH? Hell no! You want the truth find it else where! Mwanaume takwambia uchotaka kusikia.
lara1Not all men are like Adolf Hitler despite he was man! Wengine twasema cha msingi you should be a woman o'ma'level siyo huwezi ata nichalellenge afu unajifanya kunidadis jifunze kutafuta mwanaume wa level yako ukimuchallenge anaweza kwambia everything!
 
Last edited by a moderator:
Mmmh hapana u men never say the truth,nna experience kwa kwel nshawah kukaa na mwandani wangu akaishia kunidanganya badala ya kunambia ukweli

unaona? narudi palepale inawezekana alikuwa anaeleza ukweli, ila kwasababu wewe unapenda kusikia maneno fulani then hana jinsi zaidi ya kukwambia unachotaka kusikia
 
Wanaume wakwel wapo hla n wachache saaaaaana ukimpata fanya uwezavyo asikupokonyoke cz n wchache saaaaaaaaaana nw days!

Shida unakuta mwanaume kama siyo wa level yako ujue ata siku moja hutakaa akwambie ukweli, na ukiona hivyo jua yr not capable enough to challenge him na hapo always utakuwa second katika decision making.
 
Ndo Maana Always Mwanamke Unatakiwa Uwe Na Akil Ya Ziada Kumzd Mwnaume Il Uweze Kuchekecha Mambo Na Kujua Wch Is Wch@KATAN'ZANA
 
,
Try to tell your girl she is getting fat, the weave looks ugly on her, and you prefer her in long skirts than minis cause her legs are too thin. Try that little truth and see where it gets you.

Patachimbika labda kama umemchoka truth za hivyo tunawapaga wakizingua kama bye bye au lala salama...!
 
Last edited by a moderator:
Sweety! Think like a man! They ain't stupid just playing the fools card to make you think you won but it was all part of their plan

you see!! thats where you are very wrong, it seems that you have that back on your mind!! game thing!! you talk what women really talk and told,
 
lara1Not all men are like Adolf Hitler despite he was man! Wengine twasema cha msingi you should be a woman o'ma'level siyo huwezi ata nichalellenge afu unajifanya kunidadis jifunze kutafuta mwanaume wa level yako ukimuchallenge anaweza kwambia everything!

a very good thing, hakuna elimu wala level kwenye mapenzi . wote tuko sawa. kitu mapenzi hata mtu mzima anakuwa mtoto. thats wats up!!
 
Hapo kwenye mtu nzima kuwa mtoto umenikumbusha mrembo mmoja ambaye aliwahi kutamka, "Baada ya mapenzi ya uteenager sikudhani kama nitakuja kuexperience mapenzi kama yale ya uteenager ukubwani ambayo yanaweza kukufanya ukahehuka."

a very good thing, hakuna elimu wala level kwenye mapenzi . wote tuko sawa. kitu mapenzi hata mtu mzima anakuwa mtoto. thats wats up!!
 
kitu kizuri katika mahusiano ni mawasiliano mazuri, ila tatizo linakuja kwa wanaume most of them niwaongo, kama mnaweza kubadilisha hili basi mahusiano yatakua salama
 
a very good thing, hakuna elimu wala level kwenye mapenzi . wote tuko sawa. kitu mapenzi hata mtu mzima anakuwa mtoto. thats wats up!!

Siyo elimu waka uchumi..! Kuna kitu wanaune tubapenda tunapenda kuwa challenges sasa wewe huwez ata kumkosoa mumeo au bf upo tu kazi kukubali ba siyo ubishe sababu unaweza kubisha ila kaubushi kakutaja kueleweshwa au kuekewa ni mhimu sana.
 
unaona? narudi palepale inawezekana alikuwa anaeleza ukweli, ila kwasababu wewe unapenda kusikia maneno fulani then hana jinsi zaidi ya kukwambia unachotaka kusikia

Apanaaa kwa kwelii kuna watu wasiri kupitiliza japo mm c mwongeaji lakn napenda kuwa muwazi kwenye mahusiano
 
Moja ya vitu nilivyojifunza ni kuwa huwezi ishi mda mrefu na mwanamke bila kumdanganya hata kama uo ukweli ni kwa ajili ya kujenga uhusiano wenu lakini ni bora umdanganye kuliko kumwambia ukweli.

Hapanaaaa kwa kwelii
 
Back
Top Bottom