"...utamaduni wa CCM siku hizi ni kuwa dump competent candidates na kuwakumbatia "the incopentent ones!".
Pasco
Umekula umevimbiwa unakuja kutujambia hapa..
We Pasco bure kabisaa..
Mkuu 50thebe, kwanza asante!, tangu uzi huu umeanza, wewe ndie pekee, umejua nazungumzia nini hapa!, kiukweli wengi wa members humu wamezoea kupikiwa, wapakuliwe, wawekewe kwenye sahani, walishwe, wao ibaki kutafuna tuu na kumeza, lakini sasa hata kutafuna hawawezi, hadi watafuniwe!, wao kazi yao ubaki kumeza!.Hili nalo ni neno
Pengine wakasoaji wa CCM wanaona tofauti na CCM inavyoona.
Pengine ipo haja ya kuomba miongozo wanayotumia kuteua/kupendekeza incompetent huku ikiwa-dump competent candidate.
Mkuu 50thebe, kwanza asante!, tangu uzi huu umeanza, wewe ndie pekee, umejua nazungumzia nini hapa!, kiukweli wengi wa members humu wamezoea kupikiwa, wapakuliwe, wawekewe kwenye sahani, walishwe, wao ibaki kutafuna tuu na kumeza, lakini sasa hata kutafuna hawawezi, hadi watafuniwe!, wao kazi yao ubaki kumeza!.
Back to the topic, kati ya finalists wa 2005, unaweza kukumbuka who were the most competent?!, unavikumbuka vigezo vya kumpitisha the most incompetent?!, "ni mwenzetu!", "anakubalika!", "anachagulika!", "ana chemo na bashasha!", "ana sura nzuri!" etc, etc, ukimpima na kumlinganisha kichwani ana nini, unakuta nothing!, aliwahi kufanya nini?, nothing!, ana track gani ya utendaji?!, nothing!.
Kuna possibility ya 2005 scenario ikajirudia 2015!, ila to play safe, hakuna ubishi, the the one and only best CCM, has ni yule "jamaa yangu", "the competent one!", wamemshauri Pinda ajitose, ili kumzuia yule "jamaa yangu" na atachinjiwa baharini asubuhi subuhi kwa kisingizio cha hatuwezi kuwapitisha ma PM wawili at the same time!, huwezi kumuacha the sitting PM ukamchukua former PM!. Hapo kuna boya la Mzanzibari pia atachagizwa kuchukua fomu, ili na yeye afanywe pace maker kumpitisha "the chosen one!", ambaye might be "incompetent", huyu Mzanzibar anayefit sana ni Dr. Gharib Bilal!.
Yule Master Minder wa JK anaitwa Jack Gotham, ndio yuko behind "la mdimu", hivyo as of now, 2005 inajirudia!.
Pasco.
Pasco huaminiki unajipendekeza kwa yeyete hufai.katika siasaWanabodi,
Habari za Jioni!.
Niko kwenye social function fulani, MC wa Sherehe hii ni mmoja wa MC wakongwe nchini na mahiri, ila aliniboa alipotangaza rasmi kuwa miongoni mwa wageni waheshimiwa sana ni viongozi wa Chama na Serikali!.
Niliboreka kwa sababu msamiati huu wa viongozi wa Chama na serikali ulifutwa rasmi baada ya Tanzania kuingia rasmi katika mfumo wa vyama vingi. Msamiati rasmi wa sasa ni "viongozi wa vyama na serikali" hata kama wote watakaokuwepo ni viongozi wa chama kimoja!.
MC anaendelea kuwataja, tunaye Mhe. Waziri, Benard Membe na kiongozi wa Chama ni Nape Mnauye!.
Ulipofika wakati wa chakula, Mhe. Membe akielekea kwenye bufee, nikamsalimia na kumwambia "tunakuombea Uoteshwe!"
Kwa wanaokumbuka kile kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Mhe. Membe alitoa Ole kuwa tuombee asioteshwe, kugombea urais 2015!, maana akoteshwa kuna watu watahama nchi!.
Baada ya kumtania "tunakuombea Uoteshwe!", akacheka tuu, nikamuuliza inakuwaje mpaka leo hajaoteshwa?!, akajibu kilichomcheweshwa kuoteshwa ni kwa sababu "silali usingizi!". Nafanya kazi usiku na mchana hivyo sipati kabisa muda wa kulala usingizi, ila siku nikipata muda wa kulala, labda nitaota!.
Mazungumzo yetu yakaishia hapo!.
My Take.
Kwenye politics hakuna permanent friends or permanent enemies but only a common interests. Kama target ni Ikulu 2015, huyu jamaa akioteshwa msije kuwashagaa watu humu wakizihama Kambi walizo toka nazo mbali na kujiunga na timu za ushindi tarajiwa, haswa kwa kuzingatia utamaduni wa CCM siku hizi ni kuwa dump competent candidates na kuwakumbatia "the incopentent ones!.
Pasco
Lowasaa analala saana anaota kila siku uraisiWanabodi,