Face to face hug VS a hug from behind

Mmenifundisha kitu nyie wanadamu..i hope ntadumisha ndoa yangu sasa..mie nilikuwa sijui kama wengi wenu mnapenda from behind..By the way Kongosho hiyo ya upande upande ikoje?...my pacha snowhite njoo unisaidie kuchagua the best hug!..lol!
pacha from behind ndo mpango mzima af ukute nywele inanyanyuliwa kwa juu kidgo itafutwe shingo ipigwe kiss mikono ikiwa kiunoni!dah!pacha utanfanya nifungue mlango kimgongo mgongo leo sasa ah!
 
Iwe from behind au face to face haimati!!!!! Kinachomatter nani anakuhug!!! KAMA NI ZOMBIII HATA IWE FROM THE TOP BARIDIIIIII!!!!! Ila kama ndo THE ONE hata mkono watosha KUBANA MIGUUU!!!!! Ni mtazamo tu, msijenge hoja!!!!

mizombi unayo mingapi?
kumbe mizombi ina hug na kupapasa wowowo?
kumbe basi inaonja onja hata kama kula bado lol
 
mizombi unayo mingapi?
kumbe mizombi ina hug na kupapasa wowowo?
kumbe basi inaonja onja hata kama kula bado lol

Hahahaaaaaaa! dnt be too consevartive, watu tukisalimiana tunapigana hug atii hata kama sio wapenzi!!! ila ni face to face hata kwenye bible imeruhusiwa. Mi saivi mizombi yote nimeifungulia! LOLESH!!!! Hapo nimeongelea generaly kwa watu wote!!! Ila umenichekesha!
 
mizombi unayo mingapi?
kumbe mizombi ina hug na kupapasa wowowo?
kumbe basi inaonja onja hata kama kula bado lol

Mizombii yangu ilifaidi! Japo sio kidude ila far more better things. Nilikuwa naijali! Birthday lazima niipelekee MIJIKEKI+SHAMPAIGNE(JAPO CHAMDOR BUKU 8), Hapo bado sijaipelekea zawadi, na kesho yake naipeleka lunch. Ikiumwa naipeleka pharmacy, naikumbusha kunywa dawa, ikiwa na interview au safari naiamsha asubuhi, acha kuipeleka shopping na kuisaidia kuchagua(inajilipia), bado kuishauri kila kitu, bado siaifanyia budget planning. Yaani ndo maana iliniganda! BT THEY PAID DEARLY FOR MY UNDIVIDED LOYALITY!!! HAHAAAAA! Ukila na kipofu usimshike mkono! sasa huoni kama ilifaidi?
 

mwanamke akikufanyoia yoote hayo na asikupe kidude
basi hata hamu ya hiko kidude inaisha
unaanza muona as a sister
siku nyingine atatoa gesi mbele yako.siku nyingine atakosea kuvaa.
au ataongea rubbish.....
without sex all women are boring lol
 
Mmenifundisha kitu nyie wanadamu..i hope ntadumisha ndoa yangu sasa..mie nilikuwa sijui kama wengi wenu mnapenda from behind..By the way Kongosho hiyo ya upande upande ikoje?...my pacha snowhite njoo unisaidie kuchagua the best hug!..lol!

Nikuibie siri?
It feels good to feel the thing bulging while huggin from behind! Kazana kuimarisha ndoa buddy!
 
Last edited by a moderator:
Nikuibie siri? It feels good to feel the thing bulging while huggin from behind! Kazana kuimarisha ndoa buddy!

Waaaoh! Actually i had no thought of whether that bulging of the thing is what arouses your feelings!!..I just concentrated on the neck and other shits..Now I will try to emulate these damn hugs and see where they take me to!
 
Kaunga mi sielewi kingereza apo ulimaanisha nini?
 
Last edited by a moderator:
pacha from behind ndo mpango mzima af ukute nywele inanyanyuliwa kwa juu kidgo itafutwe shingo ipigwe kiss mikono ikiwa kiunoni!dah!pacha utanfanya nifungue mlango kimgongo mgongo leo sasa ah!

Uzuri wako mwalimu wetu wewe ni mtu wa practicals manake ushagundua kuwa wanafunzi wako hatuziwezi theories. So nadhani next class wakati mimi na wanafunzi wenzangu kina Kaizer na Asprin tumetulia utamuita mmoja wetu ili utoe naye demo!!..I hope utanichagua mimi cuz i bet i am a good listener!..
 
Last edited by a moderator:
Waaaoh! Actually i had no thought of whether that bulging of the thing is what arouses your feelings!!..I just concentrated on the neck and other shits..Now I will try to emulate these damn hugs and see where they take me to!

Kiongozi SnowBall hebu niitie Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Hugging sio utamaduni wa kiafrika....
 
Hupitwi?
It was meant for SnowBall, ndio maana nikasema ni siri. Subiri nikija kwa maungamo ambayo yatakuwa kwa Kiswahili!

Na hiyo itabidi uiungame pia:........
 
Last edited by a moderator:

ngoja ni 'LIKE' kwa maneno
 

haahhahahahaha pacha kwa kujipendelea!haya itabidi mfanye quiz kwanza ndo nitaamua nani nifanye nae demo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…