kama staa atakuwa wema sepetu au masogange maana hao ndo mastaa nnao wajua
Kukisia siwezi hebu tuambie mwaya kwanini ulikuwa unacheka?
Acha uongo mkuu,mbona mimi nachat hapa na ID yangu siioni???? hiyo ya huyo dada umeionaje???,
Utakuwa unatumia kitochi wewe
Hahahaaaa!! Huku kijijini kwetu hata hakuna daladala, tunachapa lapa tu mama.
Mke wangu upo nakusalimia nime kumiss
Nipo mume wangu, miss you more, hulali tu baba?
Usingizi umekata kabsaaa leo sijui kwa nini?
Hahahaaaa! Kwasababu ni w.end, mie usingizi umenikaba mpenzi, gnt.
Shikamoo Mkwe.....