Pedra buyer
Member
- Apr 26, 2015
- 97
- 32
Ilikuwa ndani ya daladala bana.Dada anachati sasa si nikampiga chabo kucheki ID yake hahahahaha! Dada mmoja maarufu sana humu ndani.
Nilimuomba nimlipie nauli nae hakusita kusema asante kimoyomoyo nilicheka sana.
Hebu kishieni mnajua kwanini nilikuwa nacheka?
Nilimuomba nimlipie nauli nae hakusita kusema asante kimoyomoyo nilicheka sana.
Hebu kishieni mnajua kwanini nilikuwa nacheka?