F4 five vs OD labaratory tech

Km n medical lab tech afu vigezo na mashariti unavyo jipeleke mapema mkuu... wala usihojii kwann
 
Kama umepata chuo na uhakika wa kusoma upo nenda chuoni mkuu mambo hayasomeki mwenzako nilichekwa nilishindwa kuendelea na form five

Nikapiga Dip niko mzigoni kwa sasa wale jamaa ndio kwanza wanasubiri ajira za magufuli wengine wamesoma kozi za ajabu ajabu
 
Kwa hgk nauona mwisho wako ni ualimu ambao kwa sasa take home ni lak 5,na mpk ww kumaliza chuo.naamin ajira za walimu hasa wa hati hazitakuwepo tena,hivyo katk hilo utakiwi kupoteza muda,nenda lab fast sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…