"Extra" Habari za Laasiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Extra" Habari za Laasiri

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MAMMAMIA, Mar 23, 2012.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Dogo alikuwa mitaani anauza gazeti la Laasiri huku anatangaza:
  Extra News, habari moto moto za Laasiri!
  "Leo watu Mia watapeliwa kwa mpigo"
  Jipatie nakala yako. Watu 100 watapeliwa. Extra extra...

  Mzee mmoja anasogea, anatoa pesa na kupewa nakala yake.
  Dogo anaendelea kutangaza biashara yake:
  "Habari moto moto za Laasiri, "Leo watu Mia moja na Mmoja watapeliwa kwa mpigo"
  Jipatie nakala yako. Extra extra!
   
 2. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 7,814
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Lo! Kumbe mzee keshatapeliwa hana habari!
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa dogo mjanja
   
 4. E

  Erasto toga Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dogo janja nn?
   
 5. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Dogo alifuata ule wito wa Mtaji wa masikini ni bongo yake mwenyewe"
   
 6. mkudeson

  mkudeson Senior Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mjini shule
   
 7. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,128
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !

  Umetisha..
   
Loading...