MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,607
Dogo alikuwa mitaani anauza gazeti la Laasiri huku anatangaza:
Extra News, habari moto moto za Laasiri!
"Leo watu Mia watapeliwa kwa mpigo"
Jipatie nakala yako. Watu 100 watapeliwa. Extra extra...
Mzee mmoja anasogea, anatoa pesa na kupewa nakala yake.
Dogo anaendelea kutangaza biashara yake:
"Habari moto moto za Laasiri, "Leo watu Mia moja na Mmoja watapeliwa kwa mpigo"
Jipatie nakala yako. Extra extra!