External Hard Disk-Dodoma.

External Hard Disk-Dodoma.

Logo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
588
Reaction score
48
Wapendwa natafuta external hard disk yenye GB kuanzia 80 nimetenga fungu tayari, naihitaji sana! nikipata zile ndoigo za lap top nitafurahi zaidi. Mwenye nayo ani Pm tafadhali!
Asante.
 
Wapendwa natafuta external hard disk yenye GB kuanzia 80 nimetenga fungu tayari, naihitaji sana! nikipata zile ndoigo za lap top nitafurahi zaidi. Mwenye nayo ani Pm tafadhali!
Asante.

mKUU, Hiyo mbona ndogo sana; sasa hv unaweza kupata mpaka 1tb kwa chini ya laki mbili!
 
mKUU, Hiyo mbona ndogo sana; sasa hv unaweza kupata mpaka 1tb kwa chini ya laki mbili!

Wow!
Nahitaji moja, kama bei ni chini ya 2K, just PM me with your mobile number
 
for data backu,its advisable not to take a terabite external disk ,ikipotea utakua umepoteza data nyingi muhimu,ila kama ni kwa ajili ya movies tu,chukua kwani hapo utaweka movie library yako yote
 
Wapendwa natafuta external hard disk yenye GB kuanzia 80 nimetenga fungu tayari, naihitaji sana! nikipata zile ndoigo za lap top nitafurahi zaidi. Mwenye nayo ani Pm tafadhali!Asante.
nitumie mail pressdown@hotmail.com nitakupa 320gb kwa elfu 90 mpya
 
Back
Top Bottom