Experience yangu ambayo sitaki mtu aipite

Teknolojia inaenda kasi sana
 
hakuna rais hata mmoja ambaye yeye urais wake ulikuwa rahisi.Huwa wanatofautiana tu ukubwa wa ugumu.labda kwa nchi zilizoendelea ambao changamoto za nchi zao zimepungua.
Sasa kama Kuna ugumu mbona huwa wapo radhi kuua wale wanaoowaona ni tishio kwenye nafasi yao? Kwanini wasiwaache tu ili wawasaidie kwenye huo ugumu?
 
Natoa onyo la mwisho kwamba pesa isifananishwe na vitu vya kijinga.

Hata katika vitabu vya dini hela imetajwa kwamba ni jawabu la mambo yote.... Chai yako ya maziwa pamoja na amani yako vimo ndani ya shekeli
 
Maskini ni kiumbe anaejua kujifariji sana....ni kama maraisi wote wa Tanzania kwa nyakati tofauti walipodanganya kuwa ile kazi ni ngumu mno ila chakushangaza walikuwa wanang'ang'ania ili washinde chaguzi
Umasikini na ujinga ni pipa na mfuniko wake
 

πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ™ƒ
 
Natoa onyo la mwisho kwamba pesa isifananishwe na vitu vya kijinga.

Hata katika vitabu vya dini hela imetajwa kwamba ni jawabu la mambo yote.... Chai yako ya maziwa pamoja na amani yako vimo ndani ya shekeli
Utakunywa vipi chai ya maziwa bila pesa! Pesa ni mwisho wa mambo yote.
Haijalisshi ni pesa nyingi au ndogo, pesa itabaki kuwa mwisho wa mambo yote.
 
Tuachenj kujipa faraja umasikini siyo sifa nzuri.

Wote hapa mnasema eti wenye Hela hawalali kwenye nyumba zao wanaogopa kuibiwa au kuvamiwa, mimi nilitarajia hao wenye Hela ndiyo waje hapa waseme kwamba hawalali kwenye majumba Yao, ila kwakuwa mnawasemea basi hizo ni porojo za masikini waliowengi kujifariji
 
Labda matajiri wa kijijini kwao.
Mimi kijijini kwetu ilikuwa ikifika msimu wa mavuno mtu akiuza Pamba halali nyumbani eti anaogopa kuvamiwa na majambazi πŸ€”
Umasikini ni kitu kibaya sana

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…