Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,189
Kimsingi imani imetoweka. Labda nikiishiwa nguvu ndo nitaanza kujaribuHebu nenda kajaribu Ile blue pill afu ulete mrejesho
Kweli mkuu, mchawi pesa.Delay spray, zime tapakaa madukani kazicheki japo usikurupuke, alafu manzi kumnyoosha dunia ya Sasa ni pesa mkuu, demu ukiwa una solve matatizo yake anakuweka kwenye HISIA ata Tako tatu TU inamkojoza lakini ka we mwenyewe kalunguyeye, mtachokana tu
MazoeziTukiwa chuo kuna mwana alikuwa anapenda sana kitu inaitwa "Njoinjoi" bila shaka nitakuwa sijakosea.
Kwenye story anatoa sifa sana kuhusu hii kitu. Mim sikuwahi kuitumia kwanza hata pisi tu kuzipata ilikuwa shida 😂.
Mwaka 2022, kuna mwana nikakutana nae tena ananipa story za vitu unapaka kichwani kwa abdala. Kuwa unapiga show ya kufa mtu.
Nikasema hii ngoja nijaribu tena kwa manzi msumbufu. Iliishia kunipa aibu tu. Bora kubaki na fomu yangu.
Tena, mwaka jana nikakutana na mwamba anasema anakichupa ya kupulizia.
Same inakupa ganzi, na unaweza piga show ya kibabe sana. Nae hujitapa kuwa anawanyorosha sana manzi.
Nikasema hii naijaribu nikamtese manzi angu, eee bwana eee. Ikanipa aibu tena.
Hadi sasa binafsi naona ni uongo tu. Yes, inakupa ganzi lakin mbona haina matokea.
Kifupi, kwangu hazijanipa matokeo.
Lakini, je madhara kwa watumiaji inakuaje huko mbeleni.
Wewe kama mdau wa hizi mbanga, uzoefu wako upoje?
Nyie manzi, mnachochote kwa dawa zenu pia?
Vijana wanateswa sana na video za X hawajui kuwa yale ni matendo ya kutengenezwa.Mazoezi
Maji kwa wingi
Shibe ya kueleweka
Vyakula vya asili
Mapumziko mazuri
Medulla oblongata isiyo na msongo wa mawazo mbalimbalu
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂👍👍😂😂😂😂Delay spray, zime tapakaa madukani kazicheki japo usikurupuke, alafu manzi kumnyoosha dunia ya Sasa ni pesa mkuu, demu ukiwa una solve matatizo yake anakuweka kwenye HISIA ata Tako tatu TU inamkojoza lakini ka we mwenyewe kalunguyeye, mtachokana tu
Ni vema akapata ushauri wakoDuh! Yaani hata umri wa miaka 37 hujafikisha tayari umeanza kuhangaika na nguvu za kiume. Vipi ukifikisha miaka 45 utakuwa katk hali gani???
Acha utumwa huo, fanya mazoezi kula vzr ondoa stress. Hayo machips bloila yatawaua.
Hizo dawa zitakuharibu. Maana hadi sasainaonekana unakosa ujasiri kitandani bila kuwepo dawa.
Hahaha atakuja mwingine atasema akila punje 2 za mchele anakaa kifuan masaa 4 sijui mleta mada ashike lipi kat ya hayaMimi nikila ndizi ya kuiva moja bolo inasimama siku mzima.
Mkuu sitanii ni kweli.Hahaha atakuja mwingine atasema akila punje 2 za mchele anakaa kifuan masaa 4 sijui mleta mada ashike lipi kat ya haya
Nakubaliana na wewe kabisa.Dawa za kuongeza nguvu za kiume ni kwa ajili ya wenye shida ya sukari, umri mkubwa nk na sio kumkomesha mwanamke. Dawa hizo ni dawa kama dawa nyingine na sio kwa ajili ya burudani au kukomoana
Hapana tangazo. Ni experience tu ya kujaribu kufuatia story. Lakini sikupata matokea. Labda kama naharibu biashara za watu.Tangazo limekaa kimkakati sana 😬