Nyuma kabisa upande wa kondakta hapa.
Safi kabisa, mimi nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yanguNamie ndio kondakta mwenyewe nakusanya Kodi hapa...
Tukirudi kwenye mada, pwenti tupu.
Niliwahi kukataliwa ombi flani ambalo nililitarajia Kwa asilimia nyingi, niliumia mno lakini baada ya hapo ikabadili kabisa mtindo wa maisha yangu hadi leo.