Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,865 730,436 Jan 5, 2016 Thread starter #3 G'taxi said: Ni nini hii mkuu? Click to expand... Kupunga mapepo kaka
ikhatibu JF-Expert Member Nov 14, 2013 2,425 2,380 Jan 5, 2016 #4 Hiyo picha ta mwisho sijailewa. Anamtoa mapepo au, anataka kumuua? Nifafanulue tafadhali.
bukoba boy JF-Expert Member Jan 15, 2015 5,370 3,956 Jan 5, 2016 #7 Exorcism ni rahisi sana kufanya wala haiitaji kufanya kama wanavofanya hao , Unasema tu nakuamuru katika jina la Yesu Kristo wa NAZARETH tayari. Nimetilia mkazo nazareth sababu hata ulimwengu wa giza una Yesu kristo wao wenyewe ndo huyo anatumika na manabii feki wapiga deal.
Exorcism ni rahisi sana kufanya wala haiitaji kufanya kama wanavofanya hao , Unasema tu nakuamuru katika jina la Yesu Kristo wa NAZARETH tayari. Nimetilia mkazo nazareth sababu hata ulimwengu wa giza una Yesu kristo wao wenyewe ndo huyo anatumika na manabii feki wapiga deal.
Black Sniper JF-Expert Member Dec 10, 2013 31,300 52,653 Jan 5, 2016 #15 Inasikitisha sana unapomuona mtu kaingiwa na majini anavyohangaika. Unakuta mtu anakua na nguvu za ajabu na matendo ya ajabu kwa kweli majini yapo
Inasikitisha sana unapomuona mtu kaingiwa na majini anavyohangaika. Unakuta mtu anakua na nguvu za ajabu na matendo ya ajabu kwa kweli majini yapo