DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,470
Zinaendelea kuibuka video nyingi zaidi za kumbukumbu ya mafanikio ya Simba katika historia ya mpira Tanzania.
Leo nawaletea video ya robo fainali ya CAF Cup 1993 kati ya USM El Harrachi dhidi ya Simba iliyochezwa kule Algeria. Simba ilivuka kigingi hiki na kwenda hadi fainali na kuwa klabu ya kwanza ya Tanzania kufanya hivyo.
Kumbukumbu zote za timu ya Simba inabidi ziwekwe pembeni ya ile Rolls-Royce ya Nyerere pale Makumbusho ya Taifa maana zina umuhimu wa kipekee.
Ni suala la muda tu kabla hatujapata video za fainali ya CAF Cup 1993. Hilo niachieni mimi bado nalifanyia kazi.
Chanzo: Instagram: @issa_michuzi