Exclusive: Mhe. John Cheyo On KLHN "Live"

Hakuna cha maana alichojibu msanii tu huyu!
Arudi BUNGENI NA HUKO NDIKO TUTAMPIMA!
APIGE KURA YA BAJETI YA KIFISADI HALAFU AJE HAPA KUSEMA LUGHA AMBAZO KINA PINDA HAKI MIZENGWE WAMESHAZITOA ZA SIRI YA JESHI NA KUMWAGA DAMU!
HUYU MTU HOVYO SANA!
NYIE WANANCHI NDIYO MAANA MNABAKI NA UFUKARA!
HUYU MTU KAMA MANENO YAKE NDIYO HAYA MLIMPA VIPI KURA?
 
Hakuna cha maana alichojibu msanii tu huyu!
Arudi BUNGENI NA HUKO NDIKO TUTAMPIMA!
APIGE KURA YA BAJETI YA KIFISADI HALAFU AJE HAPA KUSEMA LUGHA AMBAZO KINA PINDA HAKI MIZENGWE WAMESHAZITOA ZA SIRI YA JESHI NA KUMWAGA DAMU!
HUYU MTU HOVYO SANA!
NYIE WANANCHI NDIYO MAANA MNABAKI NA UFUKARA!
HUYU MTU KAMA MANENO YAKE NDIYO HAYA MLIMPA VIPI KURA?

Jmushi huyo uliyemsikia ndo kipanga wa wabunge atleast alishikilia shilingi jana!sasa kama kwa maoni yako huyo ni BOGUS!sasa wengine je sijui ndo wamo kwenye kundi gani!Hii ndo Africa!
 
mahojiano yangu na Cheyo yatarudiwa baada ya muda si mrefu. Nashukuru Jasusi kwa kunishtua kwa maana nilidhani ndio yamepotea kabisa.
 
Kuhusu SINCLAIR pia anadai huyu mtu angeshitakiwa!
Mimi nasema wote waliompa ama aliyempa ripoti pamoja na SIN CLEAR mwenyewe wana hatia!

Ni wazi kuwa hawa watu wanajali MATUMBO YAO na maslahi binafsi tuuu!
Ripoti ipewe KABURU KABLA YA WAZALENDO halafu badala ya kusema hatuko HURU...Yeye ni kuwa afunguliwe mashitaka?

UTAMFUNGULIA VIPI MASHITAKA KABURU ALIYENUNUA NCHI KWA HIYARI YA VIONGOZI AMBAO CHEYO AMEONEKANA KUWAKUMBATIA?

Kama kuna wale wanaodhani huyu si FISADI wajiulize mara mbili mbili!

Kwa wale wenye uelewa HAWEZI KUJIFICHA!

UNLESS ANYAMAZE...NA KUNYAMAZA HAWEZI KWANI HII NI SIASA!

Kwanini walichukua uamuzi wa kumpa kabla ya watanzania?

Eti siri za serikali zinavuja...Nitaje majina ya wanakamati wote halafu tuanze uchambuzi kuwa nani anaweza kuwa kavujisha ripoti?

Kwani nani asiyejua kuwa CHEYO NI MBEPARI?

NANI ASIYEJUA CHEYO KWASABABU YA MASLAHI YA KIBIASHARA...BASI ANAJUA UMUHIMU WA RIPOTI HIYO KWA MWEKEZAJI?


Nani asiyejua kuwa ripoti hiyo ilikuwa ina THAMANI KUBWA SANA KWA SIN KLIA?

Huyo aliyetoa ripoti ameona ni kwa jinsi gani mapendekezo ya ripoti hiyo yangembana KABURU!

SO aka SYMPATHISE NA KABURU KABLA YA WAZALENDO!

Akamtonya ili na yeye aje na STRATEGY!

KABURU SINI KLIA....Strategy aliyo choose ni manipulation ili Mh Rais asiifanyie kazi based on mapendekezo ya kumnufaisha Mtanzania kwa kujidai kusema kuwa uamuzi wake Kikwete ni wa mwisho!

Nani asiyejua uamuzi wa MWISHO WA KIKWETE?

Na kama kuna ASIYEJUA MAAMUZI YA MWISHO YA VIONGOZI WETU WAKUU WA NCHI...THEN WAJIULIZE KAMA KWELI TUKO HURU!

NANI ASIYEJUWA UAMUZI WA MWISHO ULIKUWA KUUZA NCHI NA RAIA WAKE NDANI?

NANI ASIYEJUA UAMUZI WA MWISHO NI WA KUTURUDISHA UTUMWANI?

Too much conflict of interest na mimi nahisi SIN KLIA aliuziwa ripoti!
Ama alipewa kishkaji!

Kupewa kishkaji na bila kuambiwa asizitoe hadharani ni UPUNGUFU MKUBWA WA AKILI NA UONGOZI WETU UME TU LET DOWN!
 
Jmushi huyo uliyemsikia ndo kipanga wa wabunge atleast alishikilia shilingi jana!sasa kama kwa maoni yako huyo ni BOGUS!sasa wengine je sijui ndo wamo kwenye kundi gani!Hii ndo Africa!

Tumsubiri Zitto Jumatatu!
Hollo hujui siasa?
Kuuma na kupuliza!
Kumsikiliza mwanasiasa na kumwelewa inahitaji uelewa..Kwani ndio maana wengi wao ni wasanii kwa maneno matamu matamu na huku wakiuza NCHI!
 
Ingawa sikuwa na bahati ya kumsikiliza, ni muhimu tukumbuke kuwa Cheyo alikumbana na mkasa wa kunyang'anywa nyumba yake kutokana na mkopo fulani hadi alipodhaminiwa na CCM; hivyo ni lazima aiheshimu na kuitunza CCM hata kama yuko UDP. Je , mlisikia hotuba yake aliyotoa kule Bariadi siku Kikwete alipotembelea wilaya ile?
 
Back
Top Bottom