Nuel27
JF-Expert Member
- Jul 3, 2026
- 420
- 829
Kibongo bongo ni kama million 900 hiviWakili mwandamizi wa Zimbabwe, Wakili Dkt. Lewis Uriri, pamoja na mke wake, walikataa kwa heshima zawadi yenye thamani ya Dola za Marekani 350,000 iliyotolewa na mfanyabiashara Wicknell Chivayo, wakieleza kuwa kuipokea zawadi hiyo kungeonekana kuhatarisha uhuru wake wa kitaaluma.