[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Naham kusikia hawa wakihojiwa.
1.Masanja mkandamizaji na mkewe
2.Asha baraka
3.Patcho Mwamba
4.Vanesa mdee na Jux
5.Muigizaji wa siku nyingi Rey(bongo muvi wanazingua)
6.Iyobo na ishu ya Upunda
Noted...Napendekeza tumhoji Evelyn Salt
Kumbe!! Hebu ambatanisha hako kauzi basi.Mimi tayari mpendwa...
Ahsante Mkuu,Napendekeza Miss chagga..kwasababu ni muwazi sana anaweza kukuambia hata yale usiotarajia yeye kusema...Wakuu na Marafiki wote.
Happy New Year.
Recently interviews zimepoa sana hapa jukwaani...
Hii mambo alikuwa anaifanya sana lara 1, akaja Uran then nikapokea kijiti...
Valentina na yeye akawa anafanya kwa nafasi yake!!
Naomba upendekeze member ambaye ungependa tufanye nae interview.
Ambaye keshafanya usimtaje tena.
Karibuni
mmmh ntaleftNapendekeza tumhoji Evelyn Salt
Patcho mwambaNaham kusikia hawa wakihojiwa.
1.Masanja mkandamizaji na mkewe
2.Asha baraka
3.Patcho Mwamba
4.Vanesa mdee na Jux
5.Muigizaji wa siku nyingi Rey(bongo muvi wanazingua)
6.Iyobo na ishu ya Upunda
Very Soon nitaruka hewani na mahondaw
Get well soon...Thanks kiwatengu for the alert though I'm not feeling well kidogo but sitakuangusha because Smart911 is taking a very good care of me so soon I'll be okay. Very soon
Smart911 mylove asante kwa taarifa make nilikua najisikia vibaya sana tu sina habari ya hii alert ukanijulisha thanks so much and
God bless you two.
Mkianza unistueGet well soon...