Mfano mimi nina maswali kwa Dr WP Slaa kuhusu mambo ya MMU... hawezi akanijibu???Mbona watu wanapendekeza wanasiasa utafikiri hili jukwaa ni la siasa, ni vyema kumhoji mhusika atakayependekezwa na wajumbe walio wengi issue zinazoendana na jukwaa lenyewe.
Tunavumiliana tu...
Wakahojiwe hukoo siasani.Hao wanasiasa tupa kule
Una akili mingi sana. CongratsMbona watu wanapendekeza wanasiasa utafikiri hili jukwaa ni la siasa, ni vyema kumhoji mhusika atakayependekezwa na wajumbe walio wengi issue zinazoendana na jukwaa lenyewe.
U said it all.Kwanzia 2012-2014 jf ilikuwa na mambo mengi sana.
Majukwaa ya MMU na CC ndo yalikuwa break ya kwanza baada ya kulog in.
Ilikuwa kila siku lazima ukutane na mada kali kama vile interviews.....Ban nazo hazikuwa mbali.
Lakini kwanzia 2015 mambo yalibadilika........uchaguzi mkuu ulibadilisha uelekeo wa mambo....watu wakawa wanashinda jukwaa la siasa.....kurudi humu wamekuja na story za mke wangu..., kwanini wanawake wana....... wa mikoani na wa Dar..... na story za puchu.
wengine tuna allerg na wanasiasaWakahojiwe hukoo siasani.
Kwakweli, huku ni stress free zone, sasa kwann tuanze kuharibiana siku!!wengine tuna allerg na wanasiasa
au wakija huku wawe.member tu.kama wengineKwakweli, huku ni stress free zone, sasa kwann tuanze kuharibiana siku!!
Wanasiasa wahojiwe jukwaa la siasa hukohuko jamani.
Ha,ha,haaaa.....au wakija huku wawe.member tu.kama wengine
wahojiwe mastyle wanayoyapenda kwa bed, wanapenda mawezere au flat screen n.k
Watatuletea biashara zao za tanzania ya viwanda na tembo john, hatutaki wabaki huko huko.wengine tuna allerg na wanasiasa