Hii itabidi ifanyike kiserikali zaidi mkuu.Mwigulu Nchemba, ni kiongozi pekee kwenye serikali yetu ambaye yuko active JF.
Naamini wengi tuna maswali ya kumwuliza kuhusiana na position yake na utendaji wa serikalin yake.
Hii itabidi ifanyike kiserikali zaidi mkuu.
Sawa mkuu!Inaweza kufanyika namna hiyo, nakumbuka Prof Tibaibana Baijuka aliwahi kufanya interview JF na ilienda vizuri tu, wanachama wa huu mtandao tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa viongozi wa serikali na wao pia nina uhakika wanaweza kupata chochote cha kujifunza kutoka kwetu katika kulisukuma hili gurudumu Tanzania kwenye Taifa la Viwanda.