Exclusive Interview! Motion: New relationship over the Old Ones!

Hongera sana! sema umemtaja sitaweza kukuuliza baadhi ya maswali afu nkakuta nakuharibia..

then shansarie! uliwahi kumpa ex wako zawadi yoyote? au yeye aliwahi kukupa chochote kama zawadi? the thing which u have until now..
or kwa upande wake
 
Last edited by a moderator:
Safi sana! mliamua vyema sana..
few questions..
ni nini unachoweza kukumbuka kwa boy wako wa kwanza compare na huyu aliyekuoa.
afu wa kwanza umemsifia sana ujue..
umesema alikuwa mtaratibu sana! hali kama hii huwa haifanyi umkumbuke?

Kitu ambacho kiukweli nakumbuka kwa huyu jamaa ni kweli alikuwa mstaarabu na aliniheshim na kuheshim mahusiano yetu...
Kwa miaka miwili nliyokuwa nae sikumbuki kama tuliwah kugombana na hakuwah kunionyesha dalili ya usaliti japo nlimbania papuchi
Yeah huwa namkumbuka sometimes kwa mazuri yake.
Ila hatukuwahi kuonana tena baada ya kuachana rasmi japo tulikubaliana kubakia kuwa marafiki.
 
mkikutana tena! what will u do to him at first? hug or just shake hands?
 
mkikutana tena! what will u do to him at first? hug or just shake hands?

I was asking maself the same question...
Naamini tutapeana mikono tu...
 
Hongera sana! sema umemtaja sitaweza kukuuliza baadhi ya maswali afu nkakuta nakuharibia..

then shansarie! uliwahi kumpa ex wako zawadi yoyote? au yeye aliwahi kukupa chochote kama zawadi? the thing which u have until now..
or kwa upande wake

Duh apo kwakweli alikuwa mgumu mno uwezi amini hata bday yangu alikuwa hakumbuki nakumbuka niliwahi kupata bday cake kubwa sana kutoka kwake na hapo ni tulipoanza mahusiano sina kitu cha kudumu kutoka kwake.binafsi nilikuwa nampa zawadi sina uhakika kama anazo bado
 
Last edited by a moderator:

ni zawadi gani uliowahi kumpa mpaka leo una i appriciate? ukiikumbuka!!
 
It can be a hug too but really naamini itategemeana na reaction zetu wote wawili tutakapoonana...

ha ha ha ha! now i can imagine hata papuchi unaweza ampa tena eti.
si inategemea tu reaction yenu ninyi wawili? as u said..
 
ha ha ha ha! now i can imagine hata papuchi unaweza ampa tena eti.
si inategemea tu reaction yenu ninyi wawili? as u said..

Hahahaaa hapana siwez kumpa papuchi kwa kweli...
I still have bad memory ya our first tym
 
Nothing much kupena mikono inatosha hakina la ziada

teh teh teh!
haya..
kuna hii kauli. "....ya kale hayanuki". katika mahusiano we unaiamini?
au "old is gold!" au "hakuna awali mbovu". we unaziamini? ziko sahihi?
 
Hahahaaa hapana siwez kumpa papuchi kwa kweli...
I still have bad memory ya our first tym

no! kwenye hili sikuungi mkono, unabad memory kwani alikubaka? si ulifuata dushelele mwenyewe? as u said earlier
 
no! kwenye hili sikuungi mkono, unabad memory kwani alikubaka? si ulifuata dushelele mwenyewe? as u said earlier

Ni kweli hakunibaka ila sikuenjoy kabisa hilo tendo zaid ya maumivu mwanzo mwisho ingawa nilifanya kwa ridhaa yangu.
Hata hivyo am married now nachukia kusalitiwa hivyo sipendi kusaliti pia.
 
teh teh teh!
haya..
kuna hii kauli. "....ya kale hayanuki". katika mahusiano we unaiamini?
au "old is gold!" au "hakuna awali mbovu". we unaziamini? ziko sahihi?

Inawezekana kwa wengine yasinuke but as long as simkumbuki wala hanipi mzuka.kama niliyenae ananiridhisha kwann nikumbushie nae nitakuwa hayawani
 
Ni kweli hakunibaka ila sikuenjoy kabisa hilo tendo zaid ya maumivu mwanzo mwisho ingawa nilifanya kwa ridhaa yangu.
Hata hivyo am married now nachukia kusalitiwa hivyo sipendi kusaliti pia.

ur married ndiyo point kubwa hapo..
na wewe niambie! hizi kauli. "old is gold", "....ya kale hayanuki" na "hakuna awali mbovu"..unazitafsirije katika upande wa mapenzi? are they applicable?
 
Inawezekana kwa wengine yasinuke but as long as simkumbuki wala hanipi mzuka.kama niliyenae ananiridhisha kwann nikumbushie nae nitakuwa hayawani

ohoo.. nashukuru kwa kujibu vizuri!

hope mahusiano yako ya kwanza yamekufunza mengi, ndiyo maana haya ya sasa upo imara..
 
ur married ndiyo point kubwa hapo..
na wewe niambie! hizi kauli. "old is gold", "....ya kale hayanuki" na "hakuna awali mbovu"..unazitafsirije katika upande wa mapenzi? are they applicable?

Naamini ni kujiendekeza tu...kwangu binafsi naheshimu good memories nilizokuwa nazo na my ex...
Na zinabaki hivyo hivyo kuwa memories kwa faida ya kila mtu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…