Ilikuwa hivi...mimi nilipata shule nikaenda zangu A level pale pale mkoani kwetu...ilikuwa boarding...alinisindikiza mpaka shule...
Baada ya hapo nikawa nawasiliana nae kwa simu za friends mara moja moja....
Baada ya muda yeye aliondoka akaenda shinyanga mi nkiwa arusha...
Tukawa tunawasiliana kwa tabu sana matokeo yake mawasiliano yakapotea kabisa...
Namba yake ikawa haipatikani.....
Nikaamua kuconclude kuwa its over...
Haikunitesa sana coz nilikuwa najua it has to be that way kwani sikuwa na future nae.....
Nilipomaliza form six nikiwa nimeshasahau kabisa habari zake akaja home na kuomba tuendelee ila sikumpa hiyo nafasi
mliachanaje? tuambie kidogo.
Ulikuwa ushapata mwingine?
Niligungua ana mwanamke mwingine tukiwa bado kwenye mahusiano na alizaa nae na mara nyingine analala kwake na mipango ya arusi walikuwa wanafanya nikaona isiwe tabu ngoja nitambae niendelee na maisha yangu.iliuma sana but hadeserve my tears hata kidogo.wanaume saa nyingine ni viatu sana nilimpenda wakti hana kitu hana mbele wala nyuma hata kazi aalikuwa hana elimu hana.niliridhika nae,akaja dar akawa mjanja kapata kazi maendeleo kidogo kaniona sifai.lol bad experience
so what then? ulimkubali mmoja au ulitaka kumkubali mmoja?
wonderful wa ndoa kabisa?
pole sana! so kwa sasa nikikwambia umkumbuke kwa walau mawili tu? mliyoyafanya pamoja au uliomfanyia au aliyokufanyia unaweza? ni yapi.
Yah alikuwa na mazuri yake alinijali kiasi kimawazo alikuwa very open kunieleza hw life is.alinisikiliza ni mwepesi kusamehe.but kosa lake limenifanya nione hayo yote yalikuwa ni unafki tu.
congratulations!! sasa yeye alianza kumega alivyooa au kabla?
dah! kweli mnafiki..
so kuna madhara yoyote uliyoyapata mlivyoachana?
kamanda (mama yako) alipokeaje?
ha ha ha ha! sawa, we unajua kitu inayoitwa secondary virgin? jamaa aliikuta?
We acha tu alikuwa mpole maana nilimwambia sistet angu ndo akamwambia kamanda.aliniuliza taratibu nakutaka kumjua jamaa nikamwambia na walifahamiana.
Kwa kweli siijui....
Ila kabla ya kuwa nilimwambia wazi niliwahi kuwa na relation na pia mie sio bikra..
Aliniambia na yeye ana past yake pia hivyo tusahau tuanze upya hatoniuliza chochote cha nyuma na mie nisimuulize ila tu iwapo itaonekana hiyo past inaingilia mahusiano yetu.
poa poa..so nini tofauti ya mahusiano yako ya nyuma na ya sasa? je, kuna mambo ambayo unayakumbuka zaidi.
compare to ur new one.
anza na mwonekano wa wote wawili,
uwezo wao kifedha,
na kwenye sex..naamini kuna aliyemzidi mwenzie..