Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

Hata mi naweza chapa cha kwake. Kwani si swala la kuwa na komputa na printer tu!
Kachape alafu uweke A kila palipo na fa fa fa, tuone utakapofika. Na kama unaweza kwanini hamkumsaidia ili aviweke wazi vyeti vyake..?
 
Hili ndio lilikuwa kombora la Mwisho la Askofu. Ila alishatahadharisha! Kuwa asichokozwe tena!

Big Up Askofu Gwajima!
Tena amesema ameamua kulitoa baada ya kuona rais pia yuko kimya na kiumbe kiburi kinazidi, anavamia vituo vya redio, mwisho atavamia wake zetu.
 
Tangu lini cheti cha daraja zero kikatolewa na NECTA?

Kwani mtu kipata zero unapewa cheti?

Umechemsha division zero huwa hakuna certificate zaidi ya leaving certificate ambayo haina credits....Nendeni mkajipange upya...

Necta watusaidie miaka hiyo ni kweli walikuwa wanatoa vyeti au la?

Hakuna academic certificate ya div.zero.

Sikumbuki kama necta wanatoaga vyeti vya div. 0

Ukipata zero hupewi cheti

Zero kumbe wanapata Cheti.... Ni hii hii serikali ya Tanzania au?

Haaaah Kuna Cheti Cha sifuri kweli????

Cheti cha zero!! Cjawahi kukiona maishani mwangu

tatzo watu wanapelekwa kama misukule mana najiuliza cheti chenye div ziro kinafafane
Acheni kujitoa ufahamu ishu kuu ni matokeo yanayothibitisha Bashite kupata zero na hiyo ni results slip wame print kama ni uongo basi Bashite akamfungulie mshtaka na aweke vyeti halisi
 
This is good stuff for Nyumbus and Mbururas.

Tangu lini NECTA ikatoa cheti kwa Div 0.
 
gwajima kapigilia msumali wa mwisho sasa bado binge kumchomoa. maana bosi wake kagoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…