ulitaka aimbe kisingeli?....binafsi nimependa alivyo-fuse na miondiko ya kikongo na chakacha kwa mbali. bonge la ubunifu.
halafu ngoma inachezeka vizuri ukijumlisha sisi waafrika hasa wabantu tumebarikiwa kuwa na instinct ya kucheza mziki tofauti na jamii zingine za africa.