ZIFUATAZO NI AHADI ZILIZOTOLEWA .
1. Kuna majimbo 50 na kata 1000 tumeahidiwa na ccm kwa tutapita bila shida yoyote.
2. Kila mgombea ubunge na udiwani atawezeshwa kifedha ktk kampeni.
3. Mbowe atahamia chaumma ili kuleta hamasa kubwa ndani ya chama hivyo kampeni kuwa rahisi.
4. Maelfu kwa maelfu ya wanachadema wako mbioni kuhamia chaumma.
5. Vijana na akina mama watakaounga mkono harakati za chaumma watapewa mikopo, bodaboda, basikeli, n.k
UTEKELEZAJI WA AHADI.
Hakuna hata ahadi moja iliyotekelezwa hadi sasa. Wagombea ubunge na udiwani wameanza kuhoji kwamba, mbona ccm wako serious sana hata kwenye kata/majimbo ambayo chaumma waliahidiwa kuwa watapewa?
NINI MATOKEO YA AHADI HEWA HIZI ?
Watu wote waliovutwa na ahadi hizi hewa wamebaini kuwa ni ulaghai na kwamba walidanganywa.
Ndiyo maana tumeanza kuona makundi ya watuna mtu mmoja mmoja wakitoka hadharani na kuikandia chaumma na kisha kuomba kurudi CHADEMA.