Excellent campaigning, Tundu Lissu, but avoid bashing Nyerere!

Excellent campaigning, Tundu Lissu, but avoid bashing Nyerere!

From what you have written here, the decription fits you better than TL. Umejieleza ulivyo hapa chini. Maelezo haya yanaeleza wewe ulivyo kuliko Lissu alivyo.
I have not written about Chadema Presidential candidate Mr Tundu Lissu before. It’s not a secret that I hold a particularly low opinion of him.
His selection as Presidential candidate by Mbowe and Ilks is one reason — among several — that I’ve had trouble recognising the Chadema Leadership.

Mr Lissu a narcissist with ungoverned mouth. There’s no other way we can account for Mr Lissu’s constant drivel of toxic matter from his beak. Either the man speaks before he thinks, or doesn’t apply his noggin at all. There’s no other plausible explanation for an audio clip of Mr Lissu planning the disenfranchisement — and calling for mass Demonstration if he looses Presidential election. If Lissu loses election ||||||||| A narcissistic personality disorder, if you loose so what ?
 
Kwa kweli. Maana kumponda Nyerere ni kuonyesha jinsi ulivyo mwepesi katika tunu za kiuongozi.

Mataifa yote duniani yana tunu, miiko, misingi na alama ambazo ukizipuuza. kuzidharau au kuziponda inatosha tu kukutoa tu kwenye kinyanganyiro.

Embu fikiria Marekani umponde Washington au Lincoln, au Uingereza uongee utumbo kuhusu malkia. Si kwamba hao watu hawakuwa/hawana madhaifu yao. Ni kwamba wanawakilisha tunu na misingi ambayo taifa linasimama juu yake. "Standing on the shoulders of giants", wangereza wanasema.

Hivi Lissu anavyosema hataki awe Rais kama Nyerere, anaweza kujilinganisha na hata robo ya Nyerere kuzingatia nchi aliitoa wapi na kuifikisha wapi pamoja na magumu na changamoto alizopitia?

Lissu anaweza kujenga hoja nzuri tu kuhusu mapungufu ya katiba na mapungufu ya Magufuli na mapungufu ya CCM bila kumponda Nyerere. Kimsingi anaweza hata kumtumia Nyerere kujenga hoja zake kuonyesha ni namna gani tunu za Nyerere zinaweza kukamilishwa na slogan yao ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.
Umezungumza maswala ya msingi. Anatakiwa afanyie kazi
 
Nashukuru kwa hilo, lakini alipokwenda ZNZ kupiga kampeni yake aliongelea kuhusu Nyerere na Muungano

..Ni kweli.

..lakini inategemea uko upande gani wa hoja ya muungano.

..kuna wanaoamini muungano uko perfect kabisa na hao humsifia Mwalimu Nyerere.

..halafu kuna wanaoamini muungano wetu una kasoro, na kasoro hizo zilianza mwaka 1964. Sasa hao huwalaumu Mwalimu Nyerere.

..TL yuko ktk kundi ambalo linaamini muungano una kasoro.
 
Kwa kweli. Maana kumponda Nyerere ni kuonyesha jinsi ulivyo mwepesi katika tunu za kiuongozi.

Mataifa yote duniani yana tunu, miiko, misingi na alama ambazo ukizipuuza. kuzidharau au kuziponda inatosha tu kukutoa tu kwenye kinyanganyiro.

Embu fikiria Marekani umponde Washington au Lincoln, au Uingereza uongee utumbo kuhusu malkia. Si kwamba hao watu hawakuwa/hawana madhaifu yao. Ni kwamba wanawakilisha tunu na misingi ambayo taifa linasimama juu yake. "Standing on the shoulders of giants", wangereza wanasema.

Hivi Lissu anavyosema hataki awe Rais kama Nyerere, anaweza kujilinganisha na hata robo ya Nyerere kuzingatia nchi aliitoa wapi na kuifikisha wapi pamoja na magumu na changamoto alizopitia?

Lissu anaweza kujenga hoja nzuri tu kuhusu mapungufu ya katiba na mapungufu ya Magufuli na mapungufu ya CCM bila kumponda Nyerere. Kimsingi anaweza hata kumtumia Nyerere kujenga hoja zake kuonyesha ni namna gani tunu za Nyerere zinaweza kukamilishwa na slogan yao ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.
Tumewaambia tangu day one kuwa Lissu ni galasha hata kukanyaga Mwitongo Butiama hataruhusiwa huyu mtu anachuki sana.Hajui kwamba watakomfungulia gets la kuingia ikulu ni wale wanaofahamu umuhimu na heshima ya MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE. Huyu mgombea wenu ataweka record ya kupata kura chache tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi.Kwa kauri zake tayari alishakera watanzania wengi sana
 
Nadhani kwenye hilo Lissu alikubali kubadilika ingawa kwa shingo upande. Ni kweli Nyerere pamoja na umuhimu wake kwa taifa hili lakini pia ni chanzo cha maovu mengi ambayo bado yanatusumbua. Hata hivyo kumsema vibaya waziwazi wakati huu ni jambo ambalo CCM wanaweza kulitumia kwa faida yao.

Ni brilliant idea kumtumia Nyerere kuonyesha jinsi CCM ya Magufuli imeachana na misingi yake. Ingekuwa vizuri pia kama kampeni ya Lissu wangeanza kucheza vipande vya hotuba za Nyerere katika kampeni zao.
for

Sawa kabadilika. Ila kama watu wanakumbuka aliyoyasema mwanzo si watamuona ndumila kuwili?
 
Nyerere hakuwa mwema kama unavyotaka kutuaminisha hapa....Yeye alikuwa busy na wapinzani wake wa kisiasa wakina Karume..Mzee Karume aliposema muungano kama koti likikubana unalivua kafa..Jumbe & Co walipohoji muungano akafichwa Mji Mwema..Maalim kizuizini..mbaya kuliko yote Sokoine..alivyoanza kuwabana majizi kauliwa..Msaidizi wake Kolimba akaomba waje wachunguzi kutoka nje Nyerere akakataa unganisha dots..Babu yangu aliniadithia haya yote na mengine ya kutisha
Hana tofauti na huyu wa sasa wote damu ya Tall
 
From what you have written here, the decription fits you better than TL. Umejieleza ulivyo hapa chini. Maelezo haya yanaeleza wewe ulivyo kuliko Lissu alivyo.
Muulize huyo Tundu kama alikuwa sahihi kwa kauli zake dhidi ya Nyerere nini kilimfanya afute kauli zile bungeni?.
 
Back
Top Bottom