Ex wangu kanitumia ujumbe wa valentine's day nkataka kumjibu vibaya ila nikapotezea.

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,717
29,073
Mzuka wanajamvi.

Ex wangu flani jana kanitumia ujumbe happy valentine's day nikataka kumjibu vibaya kwa matusi ila sijui busara ilitoka wapi nikanyamaza.
 
Back
Top Bottom