Unajishawishi mwenyewe halafu baadaye useme shetani kakutia majaribuni...!
Naona utoto umekua mwingi mno, kuna vitu huwa vinashangaza. Mwanaume kuomba ushauri kama atoke nje ya ndoa ama la! Why should it be this way... Haya mambo tuliomba ushauri enzi tuko O'level, ila sio sasa uko na mke na watoto.Hivi serious kweli hujui ufanyeje? Hivi kweli issue kama hii ni ya kuleta huku ushauriwe?
Naona utoto umekua mwingi mno, kuna vitu huwa vinashangaza. Mwanaume kuomba ushauri kama atoke nje ya ndoa ama la! Why should it be this way... Haya mambo tuliomba ushauri enzi tuko O'level, ila sio sasa uko na mke na watoto.